Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Hivi kumbe waliachana na yule mkewe mnyarwanda.! Vipi kuhusu mgao wa mali na divorce alimony, jamaa ali-hakimize mali zake au alizidiwa ujanja na demu?
 
Hili Ni Tatizo lako la kutekwa na hisia za kichama, akili inakuwa diluted to the maximum.

Katika mazungumzo yangu, tangu mwanzo, sijataja chama hata kimoja. Sijaingiza U-CCM, U-Chadema, U-ACT, n.k. ktk hoja zangu. Ila wewe umeamua kunilisha maneno ili uonekane mshindi, au Siyo!
Sizungumzi hoja zangu ktk mlengo WA kisiasa zaidi. Kwamba kwa nini kaenda CCM na si Chadema? Duh! Huo si Msingi WA hoja yangu.
Umeamua tu kunihamishia magoli ili uonekane mwerevu kuliko..... 🙋🙋
Hoja yako ni ipi sasa?

Umeelewa hoja yangu kwamba AY ana haki za kiraia, kisiasa, kikatiba na kibinadamu kujiunga na chama chochote anachotaka na kukipigia kampeni, na kumpigia kampeni mwanasiasa yeyote anayemtaka?

Unaelewa hoja yangu kwamba kumnyanyapaa kwa sababu hiyo tu ni ujinga, kwa sababu kila mtu ana haki hizo, za kujiunga au kutojiunga na chama anachotaka, na kuziingilia haki hizo za AY ni kufungua mlango wa haki zako mwenyewe kuingiliwa?

Unaelewa ninachoandika? Una uwezo hata wa kuelewa?
 
Duuuh Ay aliachana na yule bi dada???!!!! Kweli mapenzi yafutwe

Nashangaa sana watu wanaowashobokea wanyarwanda, wale watu wanapenda kuchukulia wenzao advantages. Kwanza wale body hygiene zero kabisa na zile big forehead zao
 
Watu wanatafuta kwenye ulaji uchaguzi umekaribia watu wanataka kuwa wabunge na madiwani
 
Kwa sasa mfukoni mwangu nina 15,000 tu .
Atokee mtu aniambie niwe shabiki wa samia au ccm, au kuvaa nguo ya ccm anipe milioni sitakubali kamwe hata kwa panga!
Mimi nitachukua, potelea mbali nitajifichaficha siti za nyuma huko. Mkuu... acha kabisa.
 
Mkuu.

Jielimishe kuhusu kunenepeana. Kuna watu wananenepeana kwa sababu za kibaiolojia tu.

Halafu kuna watu wanene wana afya nzuri na kuna watu si wanene wana afya mbaya.

Huo msimamo wako ni wa kizamani sana na umepitwa na wakati.
Kweli mkuu!?
Kwahiyo masuala ya obesity ni hekaya zilizopitwa na wakati?
 
Kweli mkuu!?
Kwahiyo masuala ya obesity ni hekaya zilizopitwa na wakati?
Obesity ina sababu nyingi, nyingine ni watu kupenda kula na kutofanya mazoezi. Na kuna watu hawali sana na wanafanya mazoezi na bado ni obese kwa sababu za kibaiolojia tu.

Sasa hapo ukimuweka kila mtu obese kwenye kundi ka wazembe utakuwa umerahisisha sana jambo complex sana.
 
Hapo issue sio ushabiki mwenzetu yupo hapo kimaslahi zaidi ...hana mapenzi na ccm kiasi hicho mpaka kujitoa akili
Wewee mapenzi kwa CCM unayapimaje mpaka kuja na hili hitimisho lako? Unampimia mtu kiasi cha mapenzi anayotakiwa kuwa nayo dhidi ya CCM au?
 
Obesity ina sababu nyingi, nyingine ni watu kupenda kula na kutofanya mazoezi. Na kuna watu hawali sana na wanafanya mazoezi na bado ni obese kwa sababu za kibaiolojia tu.

Sasa hapo ukimuweka kila mtu obese kwenye kundi ka wazembe utakuwa umerahisisha sana jambo complex sana.
Bwana Ambwene unamuweka kwenye kundi gani?
Maana kwenye hiyo picha iliyoambatanishwa na uzi, shingo na kichwa cha bwana Ambwene vinakaribia kufanana kabisa, muda si mrefu itakuwa ngumu kutofautisha shingo na kichwa chake?
Au ni angle tu, kwamba mpiga picha alikaa vibaya?
 
I couldn't care less.

Ni maisha yake na anaamua kuishi anavyotaka yeye.

Mimi yananihusu nini?

Nimchunguze unene wake kwani nataka nizae naye watoto?
 
I couldn't care less.

Ni maisha yake na anaamua kuishi anavyotaka yeye.

Mimi yananihusu nini?

Nimchunguze unene wake kwani nataka nizae naye watoto?
I don't care pia kuhusu maisha aliyochagua kuishi, but I saw his picture, I can't unsee it.

Baada ya kusoma uzi na kuona picha yake, nikachangia nilichochangia, kuwa watoto wa kiume aina ya AY huwa siwachukulii serious, comment yangu ilikuwa ni kama ushauri kwa mtoa mada/muanzisha uzi, kuwa mtoto wa kiume ambaye hajali afya yake sio wa kumchukulia serious.

Bila kuona huu uzi na picha ya AY wala nisingesema chochote.
 
Wabongo wengi mna tabia ya kutoa ushauri ambao hamjaombwa, kwa watu msiowajua, kuhusu mambo msiyoyaelewa.

Wewe ni mfano.

Umetoa ushauri ambao hujaombwa, kwa mtu usiyemjua, kuhusu suala la obesity ambalo inaonekana hulielewi.
 
😂😂😂
Watu wote unaochangia nyuzi zao humu JF unawajua?
Mimi unanijua?
Unataka kusema aliyeweka uzi hataki tuchangie?
Au anataka tuchangie lakini tuchangie vitu vinavyokufurahisha wewe na vinavyoendana na mtazamo wako?
Suala la obesity inaonekana silielewi au silielewi? Kwa kauli yako hauna uhakika kama silielewi suala la obesity.

Okay Wabongo tuna tabia ya kutoa ushauri ambao hatujaombwa.
Wewe unachofanya hapa ni nini? Mimi nimekuomba uniquote? Hauoni hiki unachokifanya hapa ni kunipa mimi ushauri ambao sijakuomba? Hii haikufanyi wewe kuwa Mbongo kama mimi?
 
Wabongo wengi hamjui mipaka ya kuheshimu maisha ya mtu binafsi.

AY ana haki ya kuamua kuwa obese. Akiamua hivyo wewe huna haki ya kumpangia maisha yake.

Pia inawezekana AY ana tatizo la kibaiolojia.

Kwa hiyo wewe kuandika kitu cha judgement on his obesity ni ujinga tu.

Watu waliiendel3a wana angalia obesity kama ugonjwa, kuna mpaka dawa za kuutibu. Ila wewe bado mshamba hujajua hilo. Inawezekana unamnyanyapaa mtu kwa ugonjwa wake.

Huelewi hata sababu za obesity ila unaharakisha kutoa ushauri ambao hujaombwa kuhusu obesity. Kuhusu mtu usiyemjua.
 
Wab9ngo hamjui mipaka ya kiheshimu maisha ya mtu binafsi.

AY ana haki ya kuamua kuwa obese. Akiamua hivyo wewe hina haki ya kumpangia maisha yake.

Pia inawezekana AY ana tatizo la kibaiolojia.

Kwa hiyo wewe kuandika kitu cha judgement on his obesity ni ujinga tu.

Huelewi hata sababu za obesity ila unaharakisha kutoa ushauri ambao hujaombwa kuhusu obesity. Kuhusu mtu usiyemjua.
😂😂😂
Hakuna sehemu nimemshauri Ambwene!
Labda unanichanganya na mtu mwingine mzee, Ambwene ana watu wengi wanaoweza kufanya hiyo kazi.

Mimi nilichokisema ni kuwa "MIMI NIKIONA MTOTO WA KIUME ANANENEPEANA KIBOYABOYA HUWA NAACHA KUMCHUKULIA SERIOUS"

Kama wewe unavyotuchukulia sisi Wabongo baada ya kuona tulivyo, hakuna anayekupangia kutuchukulia unavyotuchukulia, japo hata sisi Wabongo tuna haki ya kuwa tunavyotaka kuwa, lakini bado hiyo haukuzuii wewe kuwa na mtazamo uliokuwa nao kuhusu sisi.

Na mimi hakuna wa kunipangia jinsi ninavyowachukulia watoto wa kiume wanaonenepeana ovyo, my conscience tells me don't take them serious, that's what I do.

NJE YA MADA
Hata Trump ameanza kuwapangia Wamarekani, kuna sehemu nimesoma kuwa kwasasa Marekani ya Trump inatambua jinsia mbili tu.
ZINGATIA, Trump sio Mbongo, ila naye hajui mipaka ya kuheshimu maisha ya watu binafsi.
Au Trump nae ni Mbongo? Maana ana tabia uliyosema tunayo sisi Wabongo.
https://fedsoc.org/commentary/fedso...an-executive-order-recognizing-only-two-sexes
 
Back
Top Bottom