Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Tumeshaona hata kunenepa hujui sababu zake, hivyo huwezi kujua kunenepa kiboyaboya ni kupi na kunenepa kwa sababu nyingine ni kupi.

Unabumbabumba tu kwa kukisiakisia kijinga.
 
Tumeshaona hata kunenepa hujui sababu zake, hivyo huwezi kujua kunenepa kiboyaboya ni kupi na kunenepa kwa sababu nyingine ni kupi.

Unabumbabumba tu kwa kukisiakisia kijinga.
Mimi sijali kuhusu sababu zake, mimi nimeshakata shauri kuwa Ambwene ananenepa kiboya boya, kwahiyo simchukulii serious.
Hakuna namna unaweza kubadilisha huu mtazamo wangu kuhusu Ambwene.

Twende kwenye habari ya kuingilia maisha binafsi ya watu wengine. Umesema hii sifa tunayo SISI Wabongo.
Vipi kuhusu anachokifanya Trump USA, kutambua jinsia mbili tu na kuwachiniia baharini trans na mabogi mengine ya jinsia.
Hapa Trump anakuwa haingilii maisha binafsi ya watu?
Maana watu wameamua kuwa jinsia mbili anazozitaka Trump wao hawahusiki nazo, lakini Trump analazimisha wachague kati ya hizo mbili.
Hii imekaaje mkongwe, hii haimfanyi Trump kuwa Mbongo?
 
Kuna habar nimeiona Twitter inasemekana huyu jamaa kapigwa na boda boda baada ya kushindwa kulipa pesa. Nasikia anashinda saluni tu sinza , kama ni kweli, bas maisha haya yanahitaji adabu sana. USIDHARAU HAKAO KABIASHARA KAKO UNAKOFANYA kwa kuwataman hawa mastaaa.

Nasikia mwanamke wa kinyarwanda ananyoosha haswa kwenye suala la child support baada ya kumpuna kama betting na ndoa kupangaranyika
 
Aisee humu mmemkaanga sana kaka wa watu inatosha jmn.Hivi imagine unajadiliwa humu unafungua huu ukurasa unakuta haya masimango kuweni na huruma maana na wao wana mioyo pia na wao wana matatizo yao!
 
Wewe unang'ang'ania ujinga. Hata baada ya kufundishwa mambo.

Wewe ni mpumbavu.

Maana mjinga akielimishwa anaondoa ujinga wake.

Mpumbavu hata akifundishwa hataki kutoka kwenye ujinga wake.
 
Aisee humu mmemkaanga sana kaka wa watu inatosha jmn.Hivi imagine unajadiliwa humu unafungua huu ukurasa unakuta haya masimango kuweni na huruma maana na wao wana mioyo pia na wao wana matatizo yao!
Watu wengine wanaondolea frustrations za maisha yao hapahapa.

Unamnyanyapaa mtu hata hakujui 😂😂😂
 
Watu wengine wanaondolea frustrations za maisha yao hapahapa.

Unamnyanyapaa mtu hata hakujui 😂😂😂
Yaani alivyochambuliwa humu nimeimagine ndio mimi nafungua huu ukurusa.Kweli umaarufu unahitaji moyo
 
Wewe unang'ang'ania ujinga. Hata baada ya kufundishwa mambo.

Wewe ni mpumbavu.

Maana mjinga akielimishwa anaondoa ujinga wake.

Mpumbavu hata akifundishwa hataki kutoka kwenye ujinga wake.
Umepanick mzee!
Unanifundisha unanijua?
😂😂😂
Au hairuhusiwi kushauri usiowajua lakini inaruhusiwa kuwafundisha usiowajua?
Maana wewe umesema Wabongo tuna tabia ya kushauri watu tusiowajua, na kwako wewe hii ni tabia ya kijinga.
Vipi kuhusu kufundisha watu usiowajua, hauoni kuwa huu ni UJINGAplus!?
 
Yaani alivyochambuliwa humu nimeimagine ndio mimi nafungua huu ukurusa.Kweli umaarufu unahitaji moyo
Tena kwa kutumia haki yake ya kikatiba, kisiasa, kiraia na kibinadamu.

Watu wanaitaka demokrasia wanamnyanyapaa ntu kwa kutumia uhuru wake wa kidemokrasia.

What a contradiction.
 
Alituambia ana miliki nyumba kadhaa Miami USA imekuaje tena au ni Musk wa Tanzania huwezi jua..
 
Huenda uchawa unasaidia biashara "zao nyingine"
 
You are an ignorant country bumpkin.

A cretin simpleton.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards, I will not see any of your posts.
 
You are an ignorant country bumpkin.

A cretin simpleton.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards, I will not see any of your posts.

Kimbia mbio mbio!!!
Softie as toddler's butt!!!
😂😂😂
 
Sidhani kama ni kweli mkuu, Yan AY afikie hatua ya kupanda boda na akose hela ya kulipia, Story za vijiweni hizi
 
Wewee mapenzi kwa CCM unayapimaje mpaka kuja na hili hitimisho lako? Unampimia mtu kiasi cha mapenzi anayotakiwa kuwa nayo dhidi ya CCM au?
Jiulize why nowadays na sio toka zamani? Inavyoonekana ccm walikuwa hawafiki dau kwa ay, sasa wamefika ndio maana masta kaamua kujichetua
 
Ni kweli nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachotaka lakini kama suala hilo linahusisha pesa hapo mapenzi hakuna bali ni biashara na kama ni biashara waweke wazi kila kitu kwani ccm ni stake holder wa maslahi ya nchi yetu wananchi tuna haki ya kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…