Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tumeshaona hata kunenepa hujui sababu zake, hivyo huwezi kujua kunenepa kiboyaboya ni kupi na kunenepa kwa sababu nyingine ni kupi.😂😂😂
Hakuna sehemu nimemshauri Ambwene!
Labda unanichanganya na mtu mwingine mzee, Ambwene ana watu wengi wanaoweza kufanya hiyo kazi.
Mimi nilichokisema ni kuwa "MIMI NIKIONA MTOTO WA KIUME ANANENEPEANA KIBOYABOYA HUWA NAACHA KUMCHUKULIA SERIOUS"
Kama wewe unavyotuchukulia sisi Wabongo baada ya kuona tulivyo, hakuna anayekupangia kutuchukulia unavyotuchukulia, japo hata sisi Wabongo tuna haki ya kuwa tunavyotaka kuwa, lakini bado hiyo haukuzuii wewe kuwa na mtazamo uliokuwa nao kuhusu sisi.
Na mimi hakuna wa kunipangia jinsi ninavyowachukulia watoto wa kiume wanaonenepeana ovyo, my conscience tells me don't take them serious, that's what I do.
NJE YA MADA
Hata Trump ameanza kuwapangia Wamarekani, kuna sehemu nimesoma kuwa kwasasa Marekani ya Trump inatambua jinsia mbili tu.
ZINGATIA, Trump sio Mbongo, ila naye hajui mipaka ya kuheshimu maisha ya watu binafsi.
Au Trump nae ni Mbongo? Maana ana tabia uliyosema tunayo sisi Wabongo.
https://fedsoc.org/commentary/fedso...an-executive-order-recognizing-only-two-sexes
Unabumbabumba tu kwa kukisiakisia kijinga.