Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

😂😂😂
Hakuna sehemu nimemshauri Ambwene!
Labda unanichanganya na mtu mwingine mzee, Ambwene ana watu wengi wanaoweza kufanya hiyo kazi.

Mimi nilichokisema ni kuwa "MIMI NIKIONA MTOTO WA KIUME ANANENEPEANA KIBOYABOYA HUWA NAACHA KUMCHUKULIA SERIOUS"

Kama wewe unavyotuchukulia sisi Wabongo baada ya kuona tulivyo, hakuna anayekupangia kutuchukulia unavyotuchukulia, japo hata sisi Wabongo tuna haki ya kuwa tunavyotaka kuwa, lakini bado hiyo haukuzuii wewe kuwa na mtazamo uliokuwa nao kuhusu sisi.

Na mimi hakuna wa kunipangia jinsi ninavyowachukulia watoto wa kiume wanaonenepeana ovyo, my conscience tells me don't take them serious, that's what I do.

NJE YA MADA
Hata Trump ameanza kuwapangia Wamarekani, kuna sehemu nimesoma kuwa kwasasa Marekani ya Trump inatambua jinsia mbili tu.
ZINGATIA, Trump sio Mbongo, ila naye hajui mipaka ya kuheshimu maisha ya watu binafsi.
Au Trump nae ni Mbongo? Maana ana tabia uliyosema tunayo sisi Wabongo.
https://fedsoc.org/commentary/fedso...an-executive-order-recognizing-only-two-sexes
Tumeshaona hata kunenepa hujui sababu zake, hivyo huwezi kujua kunenepa kiboyaboya ni kupi na kunenepa kwa sababu nyingine ni kupi.

Unabumbabumba tu kwa kukisiakisia kijinga.
 
Tumeshaona hata kunenepa hujui sababu zake, hivyo huwezi kujua kunenepa kiboyaboya ni kupi na kunenepa kwa sababu nyingine ni kupi.

Unabumbabumba tu kwa kukisiakisia kijinga.
Mimi sijali kuhusu sababu zake, mimi nimeshakata shauri kuwa Ambwene ananenepa kiboya boya, kwahiyo simchukulii serious.
Hakuna namna unaweza kubadilisha huu mtazamo wangu kuhusu Ambwene.

Twende kwenye habari ya kuingilia maisha binafsi ya watu wengine. Umesema hii sifa tunayo SISI Wabongo.
Vipi kuhusu anachokifanya Trump USA, kutambua jinsia mbili tu na kuwachiniia baharini trans na mabogi mengine ya jinsia.
Hapa Trump anakuwa haingilii maisha binafsi ya watu?
Maana watu wameamua kuwa jinsia mbili anazozitaka Trump wao hawahusiki nazo, lakini Trump analazimisha wachague kati ya hizo mbili.
Hii imekaaje mkongwe, hii haimfanyi Trump kuwa Mbongo?
 
Kuna habar nimeiona Twitter inasemekana huyu jamaa kapigwa na boda boda baada ya kushindwa kulipa pesa. Nasikia anashinda saluni tu sinza , kama ni kweli, bas maisha haya yanahitaji adabu sana. USIDHARAU HAKAO KABIASHARA KAKO UNAKOFANYA kwa kuwataman hawa mastaaa.

Nasikia mwanamke wa kinyarwanda ananyoosha haswa kwenye suala la child support baada ya kumpuna kama betting na ndoa kupangaranyika
 
Aisee humu mmemkaanga sana kaka wa watu inatosha jmn.Hivi imagine unajadiliwa humu unafungua huu ukurasa unakuta haya masimango kuweni na huruma maana na wao wana mioyo pia na wao wana matatizo yao!
 
Wewe unang'ang'ania ujinga. Hata baada ya kufundishwa mambo.

Wewe ni mpumbavu.

Maana mjinga akielimishwa anaondoa ujinga wake.

Mpumbavu hata akifundishwa hataki kutoka kwenye ujinga wake.
 
Aisee humu mmemkaanga sana kaka wa watu inatosha jmn.Hivi imagine unajadiliwa humu unafungua huu ukurasa unakuta haya masimango kuweni na huruma maana na wao wana mioyo pia na wao wana matatizo yao!
Watu wengine wanaondolea frustrations za maisha yao hapahapa.

Unamnyanyapaa mtu hata hakujui 😂😂😂
 
Watu wengine wanaondolea frustrations za maisha yao hapahapa.

Unamnyanyapaa mtu hata hakujui 😂😂😂
Yaani alivyochambuliwa humu nimeimagine ndio mimi nafungua huu ukurusa.Kweli umaarufu unahitaji moyo
 
Wewe unang'ang'ania ujinga. Hata baada ya kufundishwa mambo.

Wewe ni mpumbavu.

Maana mjinga akielimishwa anaondoa ujinga wake.

Mpumbavu hata akifundishwa hataki kutoka kwenye ujinga wake.
Umepanick mzee!
Unanifundisha unanijua?
😂😂😂
Au hairuhusiwi kushauri usiowajua lakini inaruhusiwa kuwafundisha usiowajua?
Maana wewe umesema Wabongo tuna tabia ya kushauri watu tusiowajua, na kwako wewe hii ni tabia ya kijinga.
Vipi kuhusu kufundisha watu usiowajua, hauoni kuwa huu ni UJINGAplus!?
 
Yaani alivyochambuliwa humu nimeimagine ndio mimi nafungua huu ukurusa.Kweli umaarufu unahitaji moyo
Tena kwa kutumia haki yake ya kikatiba, kisiasa, kiraia na kibinadamu.

Watu wanaitaka demokrasia wanamnyanyapaa ntu kwa kutumia uhuru wake wa kidemokrasia.

What a contradiction.
 
Alituambia ana miliki nyumba kadhaa Miami USA imekuaje tena au ni Musk wa Tanzania huwezi jua..
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Huenda uchawa unasaidia biashara "zao nyingine"
 
Umepanick mzee!
Unanifundisha unanijua?
😂😂😂
Au hairuhusiwi kushauri usiowajua lakini inaruhusiwa kuwafundisha usiowajua?
Maana wewe umesema Wabongo tuna tabia ya kushauri watu tusiowajua, na kwako wewe hii ni tabia ya kijinga.
Vipi kuhusu kufundisha watu usiowajua, hauoni kuwa huu ni UJINGAplus!?
You are an ignorant country bumpkin.

A cretin simpleton.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards, I will not see any of your posts.
 
You are an ignorant country bumpkin.

A cretin simpleton.

I am placing you in my ignore list.

From here onwards, I will not see any of your posts.
lebron-james.gif

Kimbia mbio mbio!!!
Softie as toddler's butt!!!
😂😂😂
 
Kuna habar nimeiona Twitter inasemekana huyu jamaa kapigwa na boda boda baada ya kushindwa kulipa pesa. Nasikia anashinda saluni tu sinza , kama ni kweli, bas maisha haya yanahitaji adabu sana. USIDHARAU HAKAO KABIASHARA KAKO UNAKOFANYA kwa kuwataman hawa mastaaa.

Nasikia mwanamke wa kinyarwanda ananyoosha haswa kwenye suala la child support baada ya kumpuna kama betting na ndoa kupangaranyika
Sidhani kama ni kweli mkuu, Yan AY afikie hatua ya kupanda boda na akose hela ya kulipia, Story za vijiweni hizi
 
Wewee mapenzi kwa CCM unayapimaje mpaka kuja na hili hitimisho lako? Unampimia mtu kiasi cha mapenzi anayotakiwa kuwa nayo dhidi ya CCM au?
Jiulize why nowadays na sio toka zamani? Inavyoonekana ccm walikuwa hawafiki dau kwa ay, sasa wamefika ndio maana masta kaamua kujichetua
 
Nimeshakueleza suala la haki za mtu binafsi halina hesabu, hata ingekuwa 1 kwa milioni 65. Huyo mmoja haki yake haiondoki kwa sababu anapingana na wengine milioni 65.

Ujue vilevile wewe usivyopenda kulazimishwa upande gani uchague kuupa support kisiasa na wenzako wana haki hiyo hiyo.

Ukielewa point hiyo utaona suala la wangapi wako upande gani ni logical fallacy tu, inaitwa argument from popularity.

Kitu muhimu ni kila mtu aachiwe uhuru wake wa kuamua ana support upande gani. Habari ya upande gani una watu wangapi si muhimu.

Na kama kuna tatizo lingine, nfano rushwa za kutumia pesa za umma vibaya, mlitaje hilo tatizo.

Lakini msimsakame msanii kwa sababu kaamua ku support CCM.

Msanii kuamua ku support CCM ni haki yake ya kiraia, kikatiba, kisiasa na kibinadamu.
Ni kweli nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachotaka lakini kama suala hilo linahusisha pesa hapo mapenzi hakuna bali ni biashara na kama ni biashara waweke wazi kila kitu kwani ccm ni stake holder wa maslahi ya nchi yetu wananchi tuna haki ya kujua.
 
Back
Top Bottom