Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

AY angekuwa km kaka yake angejisikia sana aisee.
Sio kweli, huyo jamaa ana vitu vingi ila sio mtu wa kuvianika nje watu wavione kwa hio kua upande mmoja na FA hajaanza jana na hapo amekosekana Fid Q nadhani ndie alie wapuga picha, ukimkuta Fid utamkuta AY utamkuta FA ni hivyo
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Eti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.
Kiko wapi sasa?
 
Eti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.
Kiko wapi sasa?
Huyo usimfananishe na wewe mtu km humjui kiundani ni vizuri ukapiga kimya, haumfikii huyo sio mwenzio wewe kua upande usio upenda wewe haina maana anakukosea kwa chochote ni maamuzi yake binafsi hata wewe kua upande wako hakupangii, ushawahi kuoa mnyarwanda?
 
Uko sahihi kabisa mr chawa mwandamizi
 
Back
Top Bottom