Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Mkuu mbona wasanii kibao wameenda CHADEMA wengine mpaka wakapata ubunge, kina Sugu, kina Prof. Jay.

Tena Prof. Jay alianzia CCM akahamia CHADEMA.

Na hata wasanii wote wakienda CCM, tatizo liko wapi? Si haki yao ya kiraia, kikatiba na kibinadamu?

Unataka kuwapangia waende wapi?
Unapaswa kufahamu tatizo la uchawa lilianzia wapi, kwa nini neno uchawa limekuwa maarufu sana baada ya mwaka 2016.
 
Uchawa si tatizo.

Uchawa ni haki ya kisiasa, kikatiba, kidemokrasia, kibinadamu.

Inawezekana kuna tatizo lakini hamuwezi ku articulate hilo tatizo.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Huyo ni mzee wa commercial

Kama hujui hujui tu
 
Yote 9,ukweli wasanii mwaka huu wametisha asee.. 🙌🙌
 
Huyo ni mzee wa commercial

Kama hujui hujui tu
Kuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.

Halafu siku celebrity akiamua kuishi maisha yake anavyojua yeye, tofauti na mategemeo ya jamii, watu wanakuwa so disappointed.
 
Uchawa si tatizo.

Uchawa ni haki ya kisiasa, kikatiba, kidemokrasia, kibinadamu.

Inawezekana kuna tatizo lakini hamuwezi ku articulate hilo tatizo.
Uchawa ni tatizo kubwa tu.
Uchawa unatatiza mfumo wa jamii inayozingatia merits kufanikiwa.
Uchawa unachelewesha maendeleo ya jamii kwa ujumla.
 
Kuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.

Halafu siku celebrity akiamua kuishi maisha yake anavyojua yeye, tofauti na mategemeo ya jamii, watu wanakuwa so disappointed.

Kweli kabisa, na ukitaka kuenjoy maisha bila pressure usiishi kwa ajili ya watu wengine. Ukitaka usifiwe na wazalendo utajikuta huna retirement plan
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
20240929_170116.jpg
 
Duuuh Ay aliachana na yule bi dada???!!!! Kweli mapenzi yafutwe
Wengine wote sijawajibu lakini hadi wewe? Umeniangusha na kikao kijacho cha wambea tutakutoa nje.

Waliachana mara tu walipofunga ndoa, hawakudumu hata mwaka!

Walipofika US mwanamke akamgeuka AY, akapata kazi huko maana kielimu yuko vizuri basi kaka yetu akarudi bongo mikono nyuma.

Ndio kama hivyo unavyomuona, wanalea tu yule mtoto wao mmoja na kama sikosei mwanamke alishaolewa zake tena baada ya kufile divorce.
 
Kuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.

Halafu siku celebrity akiamua kuishi maisha yake anavyojua yeye, tofauti na mategemeo ya jamii, watu wanakuwa so disappointed.
Nature nzima ya celebrity ni fursa na personal gain

Sasa Ndugu zangu aki na ukwa wanataka TISOTE SOTE NTAANI KAMA MZHEE SHEKIFU NA BWANA MHINA
 
Wengine wote sijawajibu lakini hadi wewe? Umeniangusha na kikao kijacho cha wambea tutakutoa nje.

Waliachana mara tu walipofunga ndoa, hawakudumu hata mwaka!

Walipofika US mwanamke akamgeuka AY, akapata kazi huko maana kielimu yuko vizuri basi kaka yetu akarudi bongo mikono nyuma.

Ndio kama hivyo unavyomuona, wanalea tu yule mtoto wao mmoja na kama sikosei mwanamke alishaolewa zake tena baada ya kufile divorce.
Duuuuh jamani!!!! Pole zake kaka yetu..... Imekua kama flavy matata baada ya picha ya ndoa tu hakuwahi teeena kuonekana na mme jini mkata kamba hakulala.

Pole zao
 
Kwa sababu watu wengi waliofanikiwa huwa ni wabinafsi na wanyonyaji.
Sasa mtu akifanikiwa inatakiwa afanye nini kuwaridhisha masikini?
Na sio wote waliofanikiwa ni wabinafsi ila wengi wanakuwa busy kuongeza mtaji that's all
 
Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Duuuh!!! Hivi masta aliachwa na yule mnyarwanda?

Katika kapo zilizonistua kuachana ni yako Nifah Na mzee baba, ya pili ni hii ya masta.

Ila yule demu hakua level za masta.
 
Back
Top Bottom