Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Unapaswa kufahamu tatizo la uchawa lilianzia wapi, kwa nini neno uchawa limekuwa maarufu sana baada ya mwaka 2016.Mkuu mbona wasanii kibao wameenda CHADEMA wengine mpaka wakapata ubunge, kina Sugu, kina Prof. Jay.
Tena Prof. Jay alianzia CCM akahamia CHADEMA.
Na hata wasanii wote wakienda CCM, tatizo liko wapi? Si haki yao ya kiraia, kikatiba na kibinadamu?
Unataka kuwapangia waende wapi?