Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Bahati tu sio kila mwenye cheo ana uwezo wengine ni bahati tu zimewaangukia basiAnategemea kupitia jina lake na akiwa CHAWA wanaweza kumpa priority zaidi
Sio kweli, huyo jamaa ana vitu vingi ila sio mtu wa kuvianika nje watu wavione kwa hio kua upande mmoja na FA hajaanza jana na hapo amekosekana Fid Q nadhani ndie alie wapuga picha, ukimkuta Fid utamkuta AY utamkuta FA ni hivyoAY angekuwa km kaka yake angejisikia sana aisee.
Eti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Huyo usimfananishe na wewe mtu km humjui kiundani ni vizuri ukapiga kimya, haumfikii huyo sio mwenzio wewe kua upande usio upenda wewe haina maana anakukosea kwa chochote ni maamuzi yake binafsi hata wewe kua upande wako hakupangii, ushawahi kuoa mnyarwanda?Eti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.
Kiko wapi sasa?
Hakuna anaekukataza kua upande unaoupenda hata wewe hakuna anakupangia kua upande unaoutaka kwa hio mipaka ya maamuzi ya mtu binafsi izingatiweChawa mwandamizi 😂😂😂
Kwani mimi nimefanyaje chief?Hakuna anaekukataza kua upande unaoupenda hata wewe hakuna anakupangia kua upande unaoutaka kwa hio mipaka ya maamuzi ya mtu binafsi izingatiwe
Chawa SeniorKwani mimi nimefanyaje chief?
Mkuu mm msoma nyuzi tuChawa Senior
Chawa SiniaMkuu mm msoma nyuzi tu
Hapana. Ila nimeoa mrundi wa Gitega. Hana drama wala nini..ni wife material.ushawahi kuoa mnyarwanda?
Uko sahihi kabisa mr chawa mwandamiziHuyo usimfananishe na wewe mtu km humjui kiundani ni vizuri ukapiga kimya, haumfikii huyo sio mwenzio wewe kua upande usio upenda wewe haina maana anakukosea kwa chochote ni maamuzi yake binafsi hata wewe kua upande wako hakupangii, ushawahi kuoa mnyarwanda?
Mrundi wa Geita, halafu unaponda wanaooa Wanyarwanda una akili wewe? Kuna mrundi wa Geita warundi kwao si huko kwa Ndyshmiye?Hapana. Ila nimeoa mrundi wa Gitega. Hana drama wala nini..ni wife material.
Chawa SiniaUko sahihi kabisa mr chawa mwandamizi
Duu kweli bongo ukitaka uwin mambo yako yawe privateEti mbongo kapuku unaoa mnyarwanda.
Kiko wapi sasa?
Hao wasanii wamefuata hela ila najua sio akili zao
Mrundi wa Gitega na siyo Geita.Mrundi wa Geita, halafu unaponda wanaooa Wanyarwanda una akili wewe? Kuna mrundi wa Geita warundi kwao si huko kwa Ndyshmiye?
Gitega au Geita? Kuzungusha hata baba yako alizungusha kwa mama yako ndio ukapatikana wewe, stupid foolMrundi wa Gitega na siyo Geita.
Kuijua Gitega inabidi Form 4, uwe ulipata D mbili. Au uilizungusha nini?