Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimeliongelea hili hapo awali kwamba kama kuna habari ya rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma -za umma by the way, si za CCM - wekeni hapa hiyo habari halafu mumsulubu AY kwa hoja specific. Nitawaunga mkono.Ni kweli nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachotaka lakini kama suala hilo linahusisha pesa hapo mapenzi hakuna bali ni biashara na kama ni biashara waweke wazi kila kitu kwani ccm ni stake holder wa maslahi ya nchi yetu wananchi tuna haki ya kujua.
Siyo kumshambukia mtu kwa sababu kaamua kuipigia kampeni CCM tu.