Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Ni kweli nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachotaka lakini kama suala hilo linahusisha pesa hapo mapenzi hakuna bali ni biashara na kama ni biashara waweke wazi kila kitu kwani ccm ni stake holder wa maslahi ya nchi yetu wananchi tuna haki ya kujua.
Nimeliongelea hili hapo awali kwamba kama kuna habari ya rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma -za umma by the way, si za CCM - wekeni hapa hiyo habari halafu mumsulubu AY kwa hoja specific. Nitawaunga mkono.

Siyo kumshambukia mtu kwa sababu kaamua kuipigia kampeni CCM tu.
 
Nadhani umeanza kunielewa hawa public figure wanalipwa millions of money ambazo hazijulikani zinatokea wapi! Sasa kusema kila msanii ana haki ya kuchagua chama anachotaka ilhali uchaguzi wake una influence ya rushwa hapo ndio tatizo linapoanzia. Sitaki kuamini kwamba ay na wenzake wamewasha gari kwenda tanga na kuacha shughuli zao eti kwa sababu wanaipenda sana ccm hilo mi nakataa mpaka kesho hapo kuna influence ya pesa ambayo kuna uwezekano hata CAG haijui
 
Sijaanza kukuelewa wewe. In fact wewe mpaka sasa sikuelewi kwa sababu hujaweka vitu specific. Umeweka a very general accusation.

Mimi niliandika hii hoja ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma kabla wewe hujaiandika. Nikasema kama kuna matumizi mabaya ya fedha za umma, wekeni ushahidi hapa, msije na vinenoneno vya kuungaunga tu.

Na hata wewe sasa bado umeleta habari ya jumlajumla tu hujaweka specifics. Hujaweka ushahidi. Hujaweka hata a well written opinion newspaper article.

Hujaonesha hata kwamba AY analipwa.
Inawezekana AY anapigwa domo tu halipwi chochote.

Pia, juyo public figure, kama ana mkataba na CCM na CCM wanamlipa hela zao kwa makubal8ano yao, hakuna tatizo.

Onesha analipwa hela za walipa kodi, hapo utakuwa na hoja.

Haya, weka hapa uthibitisho kwamba analipwa, weka hapa uthibitisho kwamba analipwa pesa za walipa kodi, si za CCM.
 
m
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
wanaFA amempa mbinu ya kupata uteuzi
 
Sijaanza kukuelewa wewe. In fact wewe mpaka sasa sikuelewi kwa sababu hujaweka vitu specific. Umeweka a very general accusation.

Mimi niliandika hii hoja ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma kabla wewe hujaiandika. Nikasema kama kuna matumizi mabaya ya fedha za umma, wekeni ushahidi hapa, msije na vinenoneno vya kuungaunga tu.

Na hata wewe sasa bado umeleta habari ya jumlajumla tu hujaweka specifics. Hujaweka ushahidi. Hujaweka hata a well written opinion newspaper article.

Hujaonesha hata kwamba AY analipwa.
Inawezekana AY anapigwa domo tu halipwi chochote.

Pia, juyo public figure, kama ana mkataba na CCM na CCM wanamlipa hela zao kwa makubal8ano yao, hakuna tatizo.

Onesha analipwa hela za walipa kodi, hapo utakuwa na hoja.

Haya, weka hapa uthibitisho kwamba analipwa, weka hapa uthibitisho kwamba analipwa pesa za walipa kodi, si za CCM.
Chief mimi sio muandishi wa taarifa za kiuchunguzi niwe na details ila nina swahiba wangu yupo kwenye hii mifumo ya chama alinihakikishia hawa wasanii huwa wanalipwa hela nzuri tu! Halafu kuna usemi unasema 'kusoma hujui hata picha huioni,? Kwa mfano wale wasanii waliojitokeza ivi karibuni na kudai wamehama chadema na kuhamia ccm unadhani ni kipi kilichowafanya mpaka wafanye ile press kama sio rushwa?
 
Kwenye sheria kuna msemo "it is not what you know that matters, it is what you can prove".

Weka proof hapo tutaongea.

Kama hakuna proof huna tofauti na mpiga porojo.

Kwa sababu mtu yeyote anaweza kuzusha lolote kuhusu mtu yeyote.

Simaanishi kwamba AY halipwi.

Namaanisha kwamba tukianza ku entertain maneno yasiyo na ushahidi wala uthibitisho ndiyo mwanzo wa mtu yeyote kumpikia majungu mwingine yeyote bila ushahidi.
 
As long as analipwa, Sioni shida.

Tuache roho mbaya na Ubinafsi, Wacha vijana wafaidi hela za Wajhingha SISIHEMU, Maana ata wakiziacha zitaishia kujaza mafuta kwenye V8 Zao.
 
Kwenye sheria kuna msemo "it is not what you know that matters, it is what you can prove".

Weka proof hapo tutaongea.

Kama hakuna proof huna tofauti na mpiga porojo.

Kwa sababu mtu yeyote anaweza kuzusha lolote kuhusu mtu yeyote.

Simaanishi kwamba AY halipwi.

Namaanisha kwamba tukianza ku entertain maneno yasiyo na ushahidi wala uthibitisho ndiyo mwanzo wa mtu yeyote kumpikia majungu mwingine yeyote bila ushahidi.
Umesahau kwamba ccm walishachotaga hela bot wakaenda kufanyia kampeni? Unadhani kipi kinachowazuia kufanya ivo tena kama wakiamua ilhali bunge ni lao, mahakama ni zao na rais ni wa kwao? All in all muda ndio mwalimu mzuri kuna siku tutajua hizi hela ccm wanazomwaga kama njugu walikuwa wabazitoa wapi!
 
This logical fallacy is called strawman argument.

There is also a non sequitur logical fallacy.

Hujaweka uthibitisho unaweka speculation na conjecture.

Inawezekana CCM wakawa walichota hela BOT, na pia ikawa AY hajalipwa.

Thibitisha AY kalipwa, thibitisha kalipwa fedha za umma si za CCM.
 
Kwa sababu watu wengi waliofanikiwa huwa ni wabinafsi na wanyonyaji.
Yoda... Yoda.... Yoda leo umenifurahisha sana, maana umeongea kitu ambacho siku zote kiko akilini mwangu, ni ukweli ulio wazi ukimuona tajiri kupindukia hapa bongo kama sio mfanya biashara halali basi ujue lazima kuna maskini wameumia katika harakati zake za kumiliki utajiri huo.. matajiri wengi wamepata utajiri kimagumashi dizain ya akina Hushpup Ray, hivyo ni sahihi kabisa sisi akina kajampa nani kufurahia maanguko yao.
 
Yani sasa watu wanataka kupangiana mpaka kuoa?

Wameona kupangiana vyama hakutoshi, sasa wanataka kupangiana nani wa kuoa?
Mwanadamu ana hulka ya kutaka kumuona mtu fulani(hasa mtu wake wa karibu au anayemkubali) ana mfanano wa kimawazo ama kiitikadi na yeye hasa kwenye siasa, akiwa kinyume tu kitachotokea ni kuamsha hisia za chuki ambazo zinaweza kuvunja hata uhusiano wao.

Tuliona hata marekani baada ya uchaguzi na Trump kushinda jinsi nyie maliberals mlivyokuwa mnawachukia waliompigia kura Trump wengine mpaka wakafikia hatua ya kuvunja ndoa zao kisa tu wenza wao walimpigia kura Trump.

Kwa hiyo mkuu usishangae watu kukupangia mtu wa kuoa, kesho watakupangia hadi rangi ya jeans ambayo unatakiwa uvae siku ya alhamisi, na usipofanya hivyo watakupigia makelele...
 
Sasa hawa wakalamba wa JF wengi hata kumjua AY hawamjui, na yeye hawajui.

Wanaota tu kuwa AY ni rafiki yao.
 
Na yeye anataka kuwa km rafiki ake Mwana FA.
Elimu. Kuna vijana wa enzi hizo kwenye sanaa ilikuwa sehemu ya kujitafuta wakati huohuo wakiendelea kupambana na kitabu na wengine kwenye sanaa ndio wakawa wamefika mwisho wa reli.

FA, Nick, Cpwaa(R.I.P), Jokate, Mchopa na wengine wengi.

Hata hivyo wabunge wengi bila nguvu ya mzee Magu wakati huo wasingetoboa hata ndani ya chama
 
Back
Top Bottom