Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Sasa kama anakaa bench lazima kiwango kishuke, unajua kila unapocheza unakuwa unajibolesha, maana upinzani wa jana si wa leo.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kagere ni mzuri kufunga kuliko Mugalu..na analingana kwa sifa zilizobaki na mugalu na kikubwa zaidi kagere ana kasi kuliko mugalu.

Anyway, mkuu ID yako na coment yako nimeisave. Muda ni mwamuzi mzuri namimi sitasita kukukumbusha.

Mkumbushe basi [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa Mugalu sina neno ila kiufupi ni kwamba ni mwendawazimu pekee atakayeamin kuwa Mugalu ni Striker wa kutisha.

Kuhusu Mkude nakubali kabisa, jamaa alishapotea toka dakika ya kwanza mpaka ya mwisho, hakuwa mchezoni kabisa.

Uko wapi sasa
 
Kagere ni mzuri kufunga kuliko Mugalu..na analingana kwa sifa zilizobaki na mugalu na kikubwa zaidi kagere ana kasi kuliko mugalu.

Anyway, mkuu ID yako na coment yako nimeisave. Muda ni mwamuzi mzuri namimi sitasita kukukumbusha.

Eti mpira unajua kwa kuitazama na kuucheza! Ulipoanza na hiyo Sentensi tu nimejua kuwa huyu Hamna Kitu ni mweupe.

Yani wewe Dogo kucheza Rede shule ya Msingi ndiyo unasema umecheza Mpira?

Sawa Muda ni Mwalilimu mzuri umeshakuumbua.
 
Sasa mkuu...habari za rede zimetoka wapi...au unatumia nyenzo za kukalia ktk kufikiria
 
Hakika muda ni mwalimu mzuri sana
 
Huyu atakuwa Yanga tu sio kwa povu hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…