shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Sasa kama anakaa bench lazima kiwango kishuke, unajua kila unapocheza unakuwa unajibolesha, maana upinzani wa jana si wa leo.Kagere naye kashuka kiwango.
Hebu mfananishe na Kagere wakati anasajiriwa.
Simba kwa sasa mfungaji bora ni John Boko sema bado yuko majeruhi.
Ila ukimchukua Kagere na Mugalu katika swala la kufunga magoli basi Kagere ni mzuri zaidi.
Unaambiwa kocha anamwanzisha Mugalu ili akabe hapo ndani ya 18 ya adui.