Kuna msemo unasema ''people hear What they want to hear. Dont waste your time explaining.''hii ni capatin wa vital akimwongelea mugalu kuhusu mechi yao ya kwanza.
Simba inamuhitaji mfungaji mzuri kama nani? Ebu toa mfano, kwa africa hii huyo mfungaji mzuri kwenye champions league anasubili nini? Simba haina uwezo wa kumhifadhi striker mwenye hatari ya 80% . Hizo timu kubwa africa zina sota kupata striker hatari, at least simba tuna wachezaji wenye uwiano wa magoli mengi. Kama unaweza kunitajia mchezaji ambaye mpala sasa ana magoli angalau 4 kwenye group stage ata mmoja? But luis na chama wana matatu matatu, mugalu mawili, simba na timu nyingi za africa hazina uwezo wa kumsajili striker huyo ambaye mnamuhitaji labda wamtengeneze. Hata alhaly, zamalek, wydad wana wachezaji average kwenye ufungaji na hata namba zao za magoli ni kama wakina mugalu still.Mi nimekuelewa vizuri kuwa thamani ya Mugalu ni hiyo footwork yake unayoielezea.
Ila katika ufungaji magoli, wote tunatambua kwamba uwezo wake ni wa chini sana.
Asingeumia Fraga kazi hiyo isingemhitaji Mugalu.
Simba bado tunahitaji Mfungaji mahiri kwakuwa tunapoteza nafasi nyingi muhimu na za wazi.
Mugalu, Boko na Kagere, uwezo wao wa ufungaji ni wa chini kwa kiwango cha Simba cha sasa.
Nadhani hii imekaa sawa.
Amesema mambo kadhaa.Hapa nime kopi na ku pest, hoja ya mtoa mada hii. Unaweza kuipitia hasa aya ya kwanza.
"Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.
Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.
Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.
Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.
Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.
Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?
Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo."
Wanaoongoza kwa magoli kwenye ligi ya mabingwa mwaka huu hadi sasa wana magoli matatu matatu, hakuna mwenye magoli manne.Simba inamuhitaji mfungaji mzuri kama nani? Ebu toa mfano, kwa africa hii huyo mfungaji mzuri kwenye champions league anasubili nini? Simba haina uwezo wa kumhifadhi striker mwenye hatari ya 80% . Hizo timu kubwa africa zina sota kupata striker hatari, at least simba tuna wachezaji wenye uwiano wa magoli mengi. Kama unaweza kunitajia mchezaji ambaye mpala sasa ana magoli angalau 4 kwenye group stage ata mmoja? But luis na chama wana matatu matatu, mugalu mawili, simba na timu nyingi za africa hazina uwezo wa kumsajili striker huyo ambaye mnamuhitaji labda wamtengeneze. Hata alhaly, zamalek, wydad wana wachezaji average kwenye ufungaji na hata namba zao za magoli ni kama wakina mugalu still.
Hatua tuliyofika CCL kwa sasa (robo na nusu fainali),ni hatua inayohitaji wingi wa magoli zaidi ya point 3,Ili kijihakikishia nafasi ya kusonga mbele ila siyaoni hayo magoli kwa Mugalu. Ukweli ni kwamba kwa asilimia kubwa, Simba inashinda kwa skills na magoli ya midfielders na sio uwezo wa Mugalu kutulia na mpira akisubiri timu ipande, kama ni hivyo tungeona ana idadi kubwa ya assist lakini hana. Sasa kama hafungi, hana assist za kutosha anafaida gani mbele? Kama sifa yake kubwa ni kukaba, basi yule no beki na sio mshambuliaji kama yalivyo majukumu yake.Mkuu nilidhani tunazungumzia CURRENT SITUATION, kwamba kwa washambuliaji waliopo sasa hivi ni kwanini Mugalu anaanza over hao wengine. Hoja zangu zilijikita hapa.
Ila kama mjadala ulihusu mambo ya baada ya msimu kuisha nani abaki nani atafutiwe mbadala, hapo naungama na wewe kwamba tunatakiwa kutafita better option kwenye eneo la ushambuliaji kuliko hawa tulionao.
NB: Nina uhakika hiki sicho tulichokua tunakijadili hapa.
Mtoa mada anasema...!Simba inamuhitaji mfungaji mzuri kama nani? Ebu toa mfano, kwa africa hii huyo mfungaji mzuri kwenye champions league anasubili nini? Simba haina uwezo wa kumhifadhi striker mwenye hatari ya 80% . Hizo timu kubwa africa zina sota kupata striker hatari, at least simba tuna wachezaji wenye uwiano wa magoli mengi. Kama unaweza kunitajia mchezaji ambaye mpala sasa ana magoli angalau 4 kwenye group stage ata mmoja? But luis na chama wana matatu matatu, mugalu mawili, simba na timu nyingi za africa hazina uwezo wa kumsajili striker huyo ambaye mnamuhitaji labda wamtengeneze. Hata alhaly, zamalek, wydad wana wachezaji average kwenye ufungaji na hata namba zao za magoli ni kama wakina mugalu still.
Futa moja, maana hao wenye matatu hawakupewa Penalt.Wanaoongoza kwa magoli kwenye ligi ya mabingwa mwaka huu hadi sasa wana magoli matatu matatu, hakuna mwenye magoli manne.
Huyo Mugalu anayesasambuliwa hapa ana magoli mawili (goli moja pungufu ya wanaoongoza).
Mchezaji ambaye watu wanamtaka hapatikani africa hii labda wajaribu amerika, hapa champions league mchezaji akifikisha goli sita au saba anakuwa promoted to belgium au sweden. Alhaly ina wakina walter bwalya ambaye anakosa magoli sana ya wazi, alhaly ina uwezo zaidi yetu na wana strugle kwenye striker, Yaani wanatalajia simba iwe na striker anayefanana na etoo au drogba? Sasa atakuwa anafanya nini simba?Wanaoongoza kwa magoli kwenye ligi ya mabingwa mwaka huu hadi sasa wana magoli matatu matatu, hakuna mwenye magoli manne.
Huyo Mugalu anayesasambuliwa hapa ana magoli mawili (goli moja pungufu ya wanaoongoza).
Good [emoji848][emoji848][emoji848]Hatua tuliyofika CCL kwa sasa (robo na nusu fainali),ni hatua inayohitaji wingi wa magoli zaidi ya point 3,Ili kijihakikishia nafasi ya kusonga mbele ila siyaoni hayo magoli kwa Mugalu. Ukweli ni kwamba kwa asilimia kubwa, Simba inashinda kwa skills na magoli ya midfielders na sio uwezo wa Mugalu kutulia na mpira akisubiri timu ipande, kama ni hivyo tungeona ana idadi kubwa ya assist lakini hana. Sasa kama hafungi, hana assist za kutosha anafaida gani mbele? Kama sifa yake kubwa ni kukaba, basi yule no beki na sio mshambuliaji kama yalivyo majukumu yake.
Kuna wengine hapa wanasema sijui mfumo sijui nini, angalieni hata mechi za Ligi kuu, Tangu Gomez awe mocha mkuu, na kumtumia Mugalu mtagundua kuwa kuwa Asilimia kubwa ushindi wa simba umekuwa ni wa Goli moja moja licha ya kutengeneza nafasi nyingi, ambazo mwisho wa siku Mugalu huzigeuza kuwa kosakosa langoni mwa wapinzani. Utakuta wafungaji ni akina Chama, Morrison, Miqiusone ambao wote hao ni mamidfilder. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa huyo anaesifiwa kuhold mipira kwenye 18,hahusiki sana kwenye hayo magoli ya hao mamidfilders[emoji23].
Ukweli usemwe bwana, Simba Sc inakosa mshambuliaji wa maana pale mbele. Kule kwenye page za Caf wanatamba Miqiusone Na Chama na hata kwenye kikosi cha wiki wanaingia hao , inamaana wao hawaoni uwezo wa Mugalu kukaba kama nyinyi mnavyopiga kelele humu,au wao hawajui hilo soka la kisasa,kwamba nyie ndo mnalijua sana [emoji1][emoji1][emoji1]? Na hata asilimia kubwa ya mashabiki wa Simba utawaona wanajivunia Chama,na Miqiusone na sio Mugalu. Leo hii watu wamemsahau Okwi na mkude kwasababu ya performance ya Miqiusone na Lwanga,ila bado wanamiss Fraga ambae ni majeruhi ,kwa sababu hilo garasa Mugalu Galina chochote cha ku-offer kwenye team.
Huyu Mugalu atakuwa kawaroga,sio bure.Ile mechi na As vita kwa mkapa,kama tungefungwa na kutolewa, kwa zile nafasi alizopoteza,sidhani kama mngekuja na huu utetezi wenu. Nilichogundua ushindi wa Simba sc ndio unaowapa upofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la mitazamo yetu ya kibongo ni kule kuutazama ubora wa timu yako na kuacha kuangalia ubora wa yule unayecheza nae.Wewe na kocha wa simba nani anajua mpira?
Kama kocha wa simba anaona mugalu ndie best striker kuanza.. wewe nani umuone hafai..
Mpira wa ushindani mkali kama caf champions league usitegemee striker anaejua kufunga tu huku vingine hajui.. bali awe ana vya ziada vingii.. kama ball control, ball possession, na kusaidia kukaba na kuokoa kipindi ukiwa unashambuliwa... ni striker gani wa pale simba anamzidi mugalu kwa hizo factor zote...
Ni kweli timu inahitaji magoli mengi katika hatua hii (na hatua nyingine yoyote ile ya mashindano). Hata Kama magoli Hayo atafunga Wawa na Kapombe, basi hewala. Sioni hoja ya msingi hapa kwamba ni nani afunge nani asifunge. Cha msingi ni magoli hata kama yote atafunga Miquissone sawa tu.Hatua tuliyofika CCL kwa sasa (robo na nusu fainali),ni hatua inayohitaji wingi wa magoli zaidi ya point 3,Ili kijihakikishia nafasi ya kusonga mbele ila siyaoni hayo magoli kwa Mugalu. Ukweli ni kwamba kwa asilimia kubwa, Simba inashinda kwa skills na magoli ya midfielders na sio uwezo wa Mugalu kutulia na mpira akisubiri timu ipande, kama ni hivyo tungeona ana idadi kubwa ya assist lakini hana. Sasa kama hafungi, hana assist za kutosha anafaida gani mbele? Kama sifa yake kubwa ni kukaba, basi yule no beki na sio mshambuliaji kama yalivyo majukumu yake.
Kuna wengine hapa wanasema sijui mfumo sijui nini, angalieni hata mechi za Ligi kuu, Tangu Gomez awe mocha mkuu, na kumtumia Mugalu mtagundua kuwa kuwa Asilimia kubwa ushindi wa simba umekuwa ni wa Goli moja moja licha ya kutengeneza nafasi nyingi, ambazo mwisho wa siku Mugalu huzigeuza kuwa kosakosa langoni mwa wapinzani. Utakuta wafungaji ni akina Chama, Morrison, Miqiusone ambao wote hao ni mamidfilder. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa huyo anaesifiwa kuhold mipira kwenye 18,hahusiki sana kwenye hayo magoli ya hao mamidfilders[emoji23].
Ukweli usemwe bwana, Simba Sc inakosa mshambuliaji wa maana pale mbele. Kule kwenye page za Caf wanatamba Miqiusone Na Chama na hata kwenye kikosi cha wiki wanaingia hao , inamaana wao hawaoni uwezo wa Mugalu kukaba kama nyinyi mnavyopiga kelele humu,au wao hawajui hilo soka la kisasa,kwamba nyie ndo mnalijua sana [emoji1][emoji1][emoji1]? Na hata asilimia kubwa ya mashabiki wa Simba utawaona wanajivunia Chama,na Miqiusone na sio Mugalu. Leo hii watu wamemsahau Okwi na mkude kwasababu ya performance ya Miqiusone na Lwanga,ila bado wanamiss Fraga ambae ni majeruhi ,kwa sababu hilo garasa Mugalu Galina chochote cha ku-offer kwenye team.
Huyu Mugalu atakuwa kawaroga,sio bure.Ile mechi na As vita kwa mkapa,kama tungefungwa na kutolewa, kwa zile nafasi alizopoteza,sidhani kama mngekuja na huu utetezi wenu. Nilichogundua ushindi wa Simba sc ndio unaowapa upofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la mitazamo yetu ya kibongo ni kule kuutazama ubora wa timu yako na kuacha kuangalia ubora wa yule unayecheza nae.
Kocha mzuri anaitazama timu anayocheza nayo ipo vipi na anaandaa strategies kadri ya kila timu ilivyo.
Mugalu anaweza asifunge lakini akawa anaibuka mshindi wa mapambano mengi ya hewani akiruka na mabeki.
Mugalu ni kama Drogba enzi zile. Anaanza kukabia kule kule mbele, ana nidhamu nzuri ya kimchezo na utulivu wa mechi kubwa.
Mugalu angekuwa hana impact tusingepata hizi points 13 tulizopata.Umeongea kitu cha maana sana.
Sisi mashabiki tunatazama kuimarisha timu yetu pekeyake.
Kocha yeye anatazama mambo mawili kudhoofisha timu pinzani na wakati huohuo kuimarisha timu yake.
Hapa ndipo Mugalu anapata credits zake. Maana yeye anatumika ku destroy stability ya wapinzani ili akina Luis na Chama watumie mianya hiyo kwa manufaa ya Simba.
Narudia tena, nafasi za kufunga magoli ZINATENGENEZWA, hazitolewi kama zawadi.
Tatizo la mleta mada anageneralize mambo, anachukua mawazo yake na anaamini mawazo yake yako sawa na kila mtu afikiri kama yeye. Just ulivyo reply tu nimetumia dakka kama tatu kuangalia maoni ya wachsmbuzi wakubwa watatu kuhusu mugalu. Na wote walikuwa na mitazamo tofauti. Ila ukisoma uzi wake ni kama kautunga tu ili kusapot hoja yake. Huu uzi ulitakiwa uwe kwenye trash. Maana hakuna ukweli.Mtoa mada anasema...!
Kweli Mugalu ni mahiri wa kukaba na kusaidia timu.
Ila wachambuzi wanaishia kumsifia tu pale anapofanya vizuri.
Na kamwe hawazungumzii ubutu wake wa kukosa magoli ya wazi yaani pale anapo haribu.
Anamaanisha mara nyingi wachambuzi hujadili matukio mazuri tu Simba, madhaifu wanayaficha na huu mlengo hausaidii timu kujirekebisha kwenye makosa.
Mugalu anapo butua pia inabidi aelezwe na sio kufichwa.
Hii itamsaidi kujirekebisha na kuwa bora zaidi.
Wanashindwa kuelewa kuwa hizo chances wanazosema Mugalu anazikosa, yeye pia ni mtengenezaji wa hizo chances, Kwa lugha nyepesi, uwepo wa mugalu ndio uwepo wa hizo chances ambazo kina Luis wanafunga pia so Kwa kingereza cha Saint kayumba, wanasema "Mugalu presence is equal to more chances created and No Mugalu is equal to fewer chances created"Hii inaitwa from a layman's eye.
Wana kamsemo kao kwamba ''mpira wote tunauona''
Ipo tofauti ya kuona na kutambua.
Kuna watu wanafanya kazi ili mambo yaonekane vile yanavyoonekana.
Wadau wanaamini Mugalu anapendelewa na zile nafasi zinazopatikana ni kwa sababu yeye ana bahati kuliko Kagere na ndio maana kwenye hoja zao wanasema ''Kama zile nafasi ambazo anapata Mugalu, angepata Kagere basi tungeshinda magoli....''
Wanasahau kwamba kuna utaratibu wa kuzitengeneza hizo nafasi. Jamani katika mpira wa miguu, scoring chances are created, sasa hawa ndugu wanadhani kwamba MNAZAWADIWA.
Umefanya vema katika kutoa maoni kwa kuambatanisha marejeo.Tatizo la mleta mada anageneralize mambo, anachukua mawazo yake na anaamini mawazo yake yako sawa na kila mtu afikiri kama yeye. Just ulivyo reply tu nimetumia dakka kama tatu kuangalia maoni ya wachsmbuzi wakubwa watatu kuhusu mugalu. Na wote walikuwa na mitazamo tofauti. Ila ukisoma uzi wake ni kama kautunga tu ili kusapot hoja yake. Huu uzi ulitakiwa uwe kwenye trash. Maana hakuna ukweli.View attachment 1749055View attachment 1749056View attachment 1749057
Sasa rudi kwenye hoja ya mtoa mada, nilifikili atatoa reference kama hizi ku suport hoja zake.
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.
Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.
Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.
Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.
Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.
Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?
Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.