SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Umenikumbusha kipindi cha Alex Ferguson wakati akimtumia Shaba Ranks Danny Welbeck.Wewe na kocha wa simba nani anajua mpira?
Kama kocha wa simba anaona mugalu ndie best striker kuanza.. wewe nani umuone hafai..
Mpira wa ushindani mkali kama caf champions league usitegemee striker anaejua kufunga tu huku vingine hajui.. bali awe ana vya ziada vingii.. kama ball control, ball possession, na kusaidia kukaba na kuokoa kipindi ukiwa unashambuliwa... ni striker gani wa pale simba anamzidi mugalu kwa hizo factor zote...
Welbeck alikuwa anakosa magoli sana yaani kama Mugalu hivi. Lakini alikuwa anatimiza majukumu yote kama ulivyoelezea hapo juu. Nakumbuka Fergie aliulizwa kuwa kwasasa ni mchezaji gani ambae anacheza kama unavyoaagiza bila kusita alisema Danny Welbeck.