Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

Nimegundua huyu Mshkaji ana chuku za bure tu kwa Mugalu, ebu atuambie huyo Kagere anaetaka aanze kucheza badala ya Mugalu mechi ya mwisho na Al Ahly alianza alifanya nini zaidi ya kukimbia kimbia tu uwanjani, kutuliza tu mpira ilikuwa shughuli kwake.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Sina chuki kwa Mugalu ila hoja yangu ni kwamba, kwasasa Simba Sc haina strikers wa maana, sio Mugalu wala Kagere. Kama unaitakia meme Simba Sc huwezi taka iendelee kuridhika na kiwango hiki cha Mugalu. Atafutwe striker mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa anawakabia wachezaji hukohuko kwenye 18 yao, ile siku kule Congo Djuma Shabani asinge tusumbua vile mpaka miquisone akarudi kuja kumsaidia Zimbwe. Kwahiyo Wawa,Onyango,Lwanga,Zimbwe ,Kapombe,Mzamiru na huyo Mugalu wote wawe wakabaji ni nini Sasa hicho? Siamini kabisa kama kuna mashabiki wa Simba Sc,wanaotaka Simba iridhike na huduma ya striker kama Mugalu.

[emoji1542]Mugalu hakabi kwa kiwango wanachomsifia hapa.

[emoji1542] Mugalu hawezi kudribble mipira.

[emoji1542]Mugalu hapigi mashuti langoni kuwa wapinzani, katika hili nampa marks Miquisone.

Mugalu ni wa kiwango cha chini sana. Simba ukipata nafasi, iangalie namna ya kupata offensive striker sio huyu Mugalu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana mkuu kwa uelewa wako ni kwamba full backs anacheza kutokea kwenye boksi lake.
Maana effect ya Mugalu ilikua ni kuwa-pig together mabeki wa kati wa AS Vita, hold the ball, supply to midfielders and create chances.
Mwenzetu umekuja na Shaban DJUMA, a full back, kuthibitisha kwamba hoja yetu haiko sawa.

Daaah, una maajabu mkuu.
 
Kwenye hoja yako ya Giroud na Ufaransa uko sahihi sana (Mchezaji alibebwa na ubora wa timu).
Ila ukijiuliza Ubora wa Ufaransa uliletwa na nini hata ikaweza kumbeba Giroud, utagundua kwamba hauko sahihi katika hoja yako.

Case ni sawa kwa Mugalu na Simba.
Ok mkuu, nimekubali Mugalu ni striker bora sana kuwa Sasa kwenye ligi ya Tz na kimataifa. Na simba haina haja ya kuhamgaika kutafuta mbadala wake. Mugalu ni striker hatari sana, kiasi kwamba atakuja kuoffer kitu kikubwa zaidi ya alicho offer Kagere tangu aingie Simba.Nimekubali [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliangalia.
Kwahiyo unataka kutuambia kule Misri angeanza Mugalu, tungetoka na matokeo mazuri zaidi ya yale ?

Kwako #Mwanamaji
Tusikite kwenye ''ange'' - ''ninge''.
Uliionaje ile build-up Kagere akiwa pale Mbele ?

Mimi niliona kama system inamtesa Kagere, anaonekana kama anazunguka huku na kule, kitu ambacho kwa maoni sioni kama ndivyo inapaswa kuwa.

Kama wewe unaona vile ndivyo build-up inavyopaswa kufanyika basi sawa.
Tukubaliane tu kwamba tuna mtazamo tofauti juu ya jambo hili.
 
Ok mkuu, nimekubali Mugalu ni striker bora sana kuwa Sasa kwenye ligi ya Tz na kimataifa. Na simba haina haja ya kuhamgaika kutafuta mbadala wake. Mugalu ni striker hatari sana, kiasi kwamba atakuja kuoffer kitu kikubwa zaidi ya alicho offer Kagere tangu aingie Simba.Nimekubali [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea mambo mengi sana katika maoni yako. Kuna mengine nakubaliana nayo, mengine sikubaliani nayo. Ila niseme tu kwamba nayaheshimu maoni yako yote kama ulivyoyawasilisha.
 
Inaonekana mkuu kwa uelewa wako ni kwamba full backs anacheza kutokea kwenye boksi lake.
Maana effect ya Mugalu ilikua ni kuwa-pig together mabeki wa kati wa AS Vita, hold the ball, supply to midfielders and create chances.
Mwenzetu umekuja na Shaban DJUMA, a full back, kuthibitisha kwamba hoja yetu haiko sawa.

Daaah, una maajabu mkuu.
Kumbe kazi ya Mugalu ni kuwa-pig mabeki wa Kati wa timu pinzani sio kufunga, kwamaana hiyo nafasi yake inaweza zibwa hata na beki,kwasababu beki atawa-pig vizuri kuliko mshambulijai[emoji23].

Nimekubali, Mugalu ni striker bora kuwahi kutokea Simba [emoji23].Simba inapaswa kumuamini, wala haina haja ya kushugulikia safu ya ushambuliaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ana kosa magoli, ni kweli ni butu, ni kweli uwezo wake ni wa kawaida, tunatakiwa tutafute striker mwingine lakini kwa Washambuliaji waliopo na mfumo unaotumika yeye anabaki kuwa bora.
Kocha nayempanga sababu aliyotoa ni hii...

Screenshot_20210411-121916_Chrome.jpg
 
q

Mkuu, ina maana hujawahi kuona Aguero anakaba ?
Unajua kuna baadhi ya mambo humu tunatakiwa tuache kujadili bali tuanze KUFUNDISHANA
Mimi kuna vichwa humu naona hata kufundishika havifundishiki [emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
 
Tusikite kwenye ''ange'' - ''ninge''.
Uliionaje ile build-up Kagere akiwa pale Mbele ?

Mimi niliona kama system inamtesa Kagere, anaonekana kama anazunguka huku na kule, kitu ambacho kwa maoni sioni kama ndivyo inapaswa kuwa.

Kama wewe unaona vile ndivyo build-up inavyopaswa kufanyika basi sawa.
Tukubaliane tu kwamba tuna mtazamo tofauti juu ya jambo hili.
Mechi ya Al-Ahally na Simba pale Misri. Ni kati ya mechi bora kabisa na iliyochezwa kwa ustawi wa juu sana katika mwaka huu 2021 hapa Afrika na haikuwa na rafu nyingi.
Kumbuka Al-Ahally walikuwa nyumbani na wakaitumia faida ya nyumbani.
Wacheza wote wa Simba walicheza katika kiwango cha juu kabisa.
Hapo hata angekuwa huyo Mushimba asingefanya chochote zaidi ya hapo sana sana tungeweza kufungwa magoli mengi zaidi kwakuwa Mugalu hakabi, Kagere anakaba.
 
Umeongea mambo mengi sana katika maoni yako. Kuna mengine nakubaliana nayo, mengine sikubaliani nayo. Ila niseme tu kwamba nayaheshimu maoni yako yote kama ulivyoyawasilisha.
Kwahiyo Ikitokea umeulizwa kutoa maoni bila kuweka siasa (ambazo naona zimekukaa sana), juu ya eneo gani ambalo Simba inapaswa kulifanyia kazi Kati ya Safu ya mabeki,Kiungo na ile ya Ushambuliaji utagusia Safu ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefanya vema katika kutoa maoni kwa kuambatanisha marejeo.

Mi nauliza.
Hivi kwanini hapa watu wanakwepa kuzungumzia madhaifu ya Mugalu ?

Kweli anacheza vizuri, kweli Anasaidia timu.
Mbona akina Chama Bwalya huwa madhaifu yao yanajadiriwa hapa na yanapelekea hadi kujirekebisha na wanafanya vizuri sasa.

Huyu Mugalu yeye ni nani hadi ajadiriwe kwa mazuri yake tu.

Ukigusa udhaifu wake basi unashambuliwa kwamba hujui soka wewe.

Nini iko Shida ?
mbona mapungufu yake yanajadiliwa kila mahali sijaona mtu anayekataa kujadiliwa.

Sijui unalalamika nini
 
Ni kweli ana kosa magoli, ni kweli ni butu, ni kweli uwezo wake ni wa kawaida, tunatakiwa tutafute striker mwingine lakini kwa Washambuliaji waliopo na mfumo unaotumika yeye anabaki kuwa bora.
Kocha nayempanga sababu aliyotoa ni hii...

View attachment 1749135
NAUNGANA NA WEWE unaekubali madhaifu yake,na kukubali kwamba tunatakiwa tutafute striker mwingine. Kwahayo maelezo ni kwamba, inamlazimu kocha kumpanga kwakua hana mbadala. Ndomaana hata mimi nasema Simba haina Safu bora ya Ushambuliaji, yaani sio Kagere wala Mugalu wote ni magarasa tu.Kwa Asilimia kubwa Team inafunga kupitia mamidfilders na Wings.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tukubaliane kutokukubaliana hivi,Magulu ajirekebishe anapopata chance tatu za kufunga angalau kama sio nafasi mbili basi hata moja aitumie vizuri kwa kufunga.
Isiwe sifa yake ya kuwazuia mabeki wasipande lakini akipata nafasi zaidi ya mbili yeye na kipa anakosa tena kwa mechi ziadi ya mbili,hii haitakaa poa.
Mashabiki wa soka siku zote tunapenda matokeo na kila mchezaji atimize majukumu yake kama ni striker basi akipata nafasi mbili ama tatu afunge.
Kama ni defender pia atimize majukumu yake kama mlinzi.
 
Unamuita Mugalu, Galasa.

Subiri wanakuja kukushambulia muda si mrefu.
Mugalu ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kuhold mipira inayotokea mbele kurudi nyuma.
Ndio maana mabeki wetu wanapumzika.
Mwisho anawasambazia mipira ma mido kama Chama na Wanafunga kirahisi.
Hii ndiyo shughuri ya Mugalu.
 
Watakuja kukubishia kwa kusema

"AS Vita wasingesawazisha, kwakuwa kule mbele Mugalu anawakaba kulekule"

Sijawahi kusikia mshambuliaji wa mwisho yaani namba tisa anaacha majukumu yake na kuwa Mkabaji mahiri.
Binafsi licha ya kuzuiazuia mipira muda furani
Sijaiona Mugalu akikaba.
Sijaona akitoa assist,
Sijaona akifunga magoli akiwa sehemu ngumu.
Sijaona akiwapiga chenga mabeki pinzani.
Sijaona akipiga za bunduki za maana golini.
Hakika sijaona labda kwa nadra sana,.
Huo mpira mzuri sijui anachezea wapi.
tuma CV yako kwa barbara
 
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu.

Na kwa bahati mbaya zaidi wachambuzi wengi wa soka hapa bongo wamekuwa na 'upofu' katika uchambuzi. Analysis zao nyingi zina base kwenye matokeo. Mfano, hata kama timu ikicheza ovyo kwa dk zote 89, ila ikapata goli na kushinda dakika ya 90..Basi tegemea analyis positive kutoka kwa wachambuzi wetu.. Vice versa is true.

Vivyo hivyo kwenye swala la Mugalu, wachambuzi wetu hawajui chochote kuhusu soka. Hata uchambuzi wao juu ya viwango vya wachezaji umemezwa na matokeo ya timu. Wengi utawasikia kuwa Mugalu ni striker mwenye uwezo wa kuhold mpira na kufungua nafasi kwa wengine. Hawazungumzii kabisa ubutu wake golini.

Na mbaya zaidi wachambuzi karibu wote wana copy na kupaste opinions zao zinafanana. Katika kipindi hiki, huwezi kuta wachambuzi wanajadili weaknesses za Mugalu, badala yake wanaelezea umuhimu wake na faida yake kule mbele.Najiuliza, Hivi kama hafungi, ana umuhimu gani sasa wa kuanza?, na je kama timu isingekuwa inapata matokeo na bado Mugalu angekuwa anapoteza zile nafasi, bado wasingemuelezea udhaifu wake?...Jibu ni rahisi tu, wana chambua kulingana na matokeo.

Mfano wa pili, ni Jonas Mkude. Kwa mtu anaejua mpira na aliyeangalia ile game, ilikuwa sio rahisi kuamini kama Mkude angerudi uwanjani second half..Alikuwa flopy sana siku ile.

Cha ajabu timu imepata matokeo kwenye comments unasikia uchambuzi kuwa Mkude alifanya majukumu yake vizuri na aliiunganisha vizuri sana safu ya ulinzi na ushambuliaji..Hivi ni mkude huyu huyu aliyekuwa na pass accuracy mbovu kuliko wachezaji wote wa simba siku hiyo? Ina maana wachambuzi hamuoni udhaifu wa wachezaji kisa tu timu imepata matokeo?

Basi kama ni hivyo, hakuna kazi rahisi kama kucwa mchambuzi wa soka bongo.​
Asee kumbe bora umenisaidia kitu... ishu ya mkude... niliongea na watu adi nkajiona kwa vile mi sio mchambuzi na sijui sana mpira... mkude hakufanya majukumu yake ipasavyo.

Hata hivyo jaribu kuangalia comments za wengi hata ktk maswala mengine.... huwa kuna watu wakishacomment, inachukuliwa km ilivyo na comment inakua kwa mtindo huo huo kwa kila anaekubaliana nae.
 
Basi tukubaliane kutokukubaliana hivi,Magulu ajirekebishe anapopata chance tatu za kufunga angalau kama sio nafasi mbili basi hata moja aitumie vizuri kwa kufunga.
Isiwe sifa yake ya kuwazuia mabeki wasipande lakini akipata nafasi zaidi ya mbili yeye na kipa anakosa tena kwa mechi ziadi ya mbili,hii haitakaa poa.
Mashabiki wa soka siku zote tunapenda matokeo na kila mchezaji atimize majukumu yake kama ni striker basi akipata nafasi mbili ama tatu afunge.
Kama ni defender pia atimize majukumu yake kama mlinzi.
Hicho ndo tunataka, sio habari za ukabaji alafu Kati ya nafasi 5 za wazi hapati hata moja, zote anazigeuza kosakosa. Hii hatua tuliyofika ni hatua inayohitaji zaidi magoli zaidi hata ya point 3,tukiendelea kwenda na hoja za ukabaji hatuwezi toboa.Jaribu kufikiria tumefungwa mbili kavu ugenini, alafu kwa mkapa sehemu ambayo tunahitaji kupindua matokeo ,tunatengeneza Zaid ya nafasi 5 za wazi ila hatugungi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamuita Mugalu, Galasa.

Subiri wanakuja kukushambulia muda si mrefu.
Mugalu ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kuhold mipira inayotokea mbele kurudi nyuma.
Ndio maana mabeki wetu wanapumzika.
Mwisho anawasambazia mipira ma mido kama Chama na Wanafunga kirahisi.
Hii ndiyo shughuri ya Mugalu.
Yoyote atakae taka nikubaliane na hoja ya kwamba Mugalu anawasambazia mamido mipira Ili wafunge, aniambie kwanza huyo Mugalu ana assit ngapi kwenye ligi na kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom