Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Sina chuki kwa Mugalu ila hoja yangu ni kwamba, kwasasa Simba Sc haina strikers wa maana, sio Mugalu wala Kagere. Kama unaitakia meme Simba Sc huwezi taka iendelee kuridhika na kiwango hiki cha Mugalu. Atafutwe striker mwingine.Nimegundua huyu Mshkaji ana chuku za bure tu kwa Mugalu, ebu atuambie huyo Kagere anaetaka aanze kucheza badala ya Mugalu mechi ya mwisho na Al Ahly alianza alifanya nini zaidi ya kukimbia kimbia tu uwanjani, kutuliza tu mpira ilikuwa shughuli kwake.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app