William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba simu kabla hajapanda Kizimbani.
2. Je, waliamini kbs shahidi hakuja mahakamani na simu.
3. Simu NI kitu kinachoonekana kirahisi mfukoni. Kwa shaidi uliyekuwa nae huwezi kuona kuwa anaingia na simu kwa kuona upana wa mifuko. Yani upana wa mifuko.
Je, waliacha haya yatokee makusudi ili kesi iharibike.