Kibatala anajua lakini anataka kula pesa ya nyumbu. Si ulimsikia alisema ametumiwa sms kuwa shahidi ana refer kwenye diary wakati yeye hakuona sasa ili awaridhishe ndiyo aka raise hiyo objection.Ina maana we unajua kuliko akina kibatara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibatala anajua lakini anataka kula pesa ya nyumbu. Si ulimsikia alisema ametumiwa sms kuwa shahidi ana refer kwenye diary wakati yeye hakuona sasa ili awaridhishe ndiyo aka raise hiyo objection.Ina maana we unajua kuliko akina kibatara?
yaani yeye anayemhoji ambaye ndio lazima amuangalie shahidi usoni hajamuona, halafu aliyeko nyuma kule ndo amuone, na msg hiyo kibatala aliisoma saa ngapi wakati alikua anahoji shahidi? wakili wa utetezi anayemhoji asimwone alafu prof j asiye mhoji ndio amwone? hamuoni uongo wa mchana? na huyo prof j ana ushahidi huo kama akiambiwa autoe pale mahakamani, hata amuone yeye tu wengine wote wasimwona hata wale wanaoichukia sana serikali pale ndani?Kibatala anajua lakini anataka kula pesa ya nyumbu. Si ulimsikia alisema ametumiwa sms kuwa shahidi ana refer kwenye diary wakati yeye hakuona sasa ili awaridhishe ndiyo aka raise hiyo objection.
Mtama mchungu, pande la nyama walilobugia la moto kutafuna hawawezi kutema hawawezi kwani limewakwama kilichobakia, kwao ni kifo😃.Hapa ndio utaona ni namna gani serikali imeng'ata pande la nyama isiloweza kutafuna, halafu bahati mbaya ni la moto.
Mbowe sio malaika, lakini kumpa kesi ya ugaidi ilikuwa ni upumbavu wa kiwango cha juu sana. Makosa mazito yanataka uthibitisho mzito. Mbowe sio mjinga kiasi eti cha kuamua kuanza kufanya ugaidi.
Waache wapambane na huu mfupa
Mbona unawashwa,subiri ruling keshojambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?
halafu, shahidi yeyote, awe wa jamhuri au shahidi wa mshitakiwa, kabla hajaingia pale kizimbani huwa kuna nafasi ya kwenda kuendaliwa. hata mashahidi wa mbowe kabal hawajaingia kizimbani watachukuliwa na kina kibatala kwenda kwenye chumba cha siri wakamwandae pre-trial, kwa hiyo kwa akili zenu mnafikiri kwa ushaidi wa askari polisi kutakuwa na kitu kama walikuwa na nia ya kumfundisha watakuwa hawakumfundisha hadi aingie kizimbani? mbona mna akili finyu sana ninyi?
jambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?
halafu, shahidi yeyote, awe wa jamhuri au shahidi wa mshitakiwa, kabla hajaingia pale kizimbani huwa kuna nafasi ya kwenda kuendaliwa. hata mashahidi wa mbowe kabal hawajaingia kizimbani watachukuliwa na kina kibatala kwenda kwenye chumba cha siri wakamwandae pre-trial, kwa hiyo kwa akili zenu mnafikiri kwa ushaidi wa askari polisi kutakuwa na kitu kama walikuwa na nia ya kumfundisha watakuwa hawakumfundisha hadi aingie kizimbani? mbona mna akili finyu sana ninyi?
Kama wewe wakili kwa mtazo wangu nahitakiji kujiridhisha kwa Hilo, vinginevyo nitasema ni wakili wa upande wa mashitaka. Katika kesi iliyo moto hivi sasa.mimi sio shahidi, ila ni mwanasheria nafuatilia pia hiyo kesi. na mahakamani kwangu ni kama nyumbani, nashinda huko jumatatu hadi ijumaa.
Hapo kuna vitendo viwili: Kuingia na diary na Kusoma diary. Kuingia na diary notebook, simu ni ruksa. Isipokuwa kusoma hivyo vitu bila ruhusa ya mahakama ndiyo kosa yaani nikinyume cha utaratibu ila ukiomba mahakama ujikumbushe na mahakama ikakubali hakuna kosa. Hivi unajua shahidi pia anaweza kutoa ushahidi wake kupitia video call?Tukueleweje sasa? Maana unaji - contradict mwenyewe kwa kusema;
å Hakuna sheria inayoruhusu shahidi kuingia na simu, kalamu ama na diary/note book, na;
Wakati huo huo unasema;
å Isipokuwa kosa ni kutoa ushahidi huku ukisoma sehemu (hopefully ikiwa na maana ya diary au notebook au karatasi yoyote)
## Sasa tuambie tofauti ya A na B ni nini?
## Maana ni obviously, kama mtu yuko kizimbani na notebook au diary au karatasi ya maandishi tafsiri yake ni kuwa alikuwa anasoma..., au siyo?
## By the way unadhani wanasheria na mawakili wa upande wa utetezi ni wajinga na hawaelewi sheria hata kupoteza muda wa mahakama kwa kuliibua hilo...?
## Nakuhakikishia jambo moja, kuwa, hawa wabambika/watunga kesi za uongo wanaweza kuruka mtego wa 1 labda na wa 2 na pengine na wa 3 lakini wa 4 lazima Jamhuri na Jaji wao wajitie kitanzi wenyewe...!!!
WAIT & SEE. Nimetamka mimi The Palm Tree
wewe ni mburura na huna akili. mimi unayeongea naye nilishahoji mashahidi pale kizimbani hadi nimechoka. ni mara nyingi tu nimeomba mahakama iruhusu shahidi arefresh kwenye kumbukumbu zake, inaruhusiwa kisheria. hata jaji kesho utamsikia atakuambia kuwa mere possession ya ile diary au kalamu au simu sio kosa, ila kutumia bila ridhaa ya mahakama ndio kosa. swali ni je, kuna uthibitisho kwamba alitumia diary kusoma majibu? ni wakati gani wakati wakili wenu muda wote alikuwa anamuangalia na hakuona hilo?Jibu maswali haya;
1. Unasema " diary, kalamu na diary/notebook ni mali binafsi za shahidi, katoka nazo nyumbani kwake". Kwa hili tu, kumbe kweli wewe ni chapwa24 maana possibly wewe twenty four hours unakuwaga unachapwa tu..!!
Hii kwa maana yako ni kuwa hata shahidi akipanda kizimbani na chupa za gongo au bia, argument yako itakuwa ni sawa tu kwa kuwa ni mali yake, right..??
2. By the way, ni wazi kuwa wewe una - argue haya mambo blindly, kwa hisia za "ujinga" tu wa kukosa uelewa na ufahamu, au siyo...?
Mathalani, wewe unaijua sheria ya ushahidi na mashahidi inasemaje kuhusu hilo..?
ningelikuwa wakili wa mashtaka lazima ningeomba nafasi nikaendeshe hii kesi. tatizo nilishatoka huko, ila najua kinachoendelea kwasababu nilishawahi kuwa huko kipindi cha nyuma na nikiwa huko niliwafahamu sana hao wanasiasa wanaowatumia kujinufaisha na ninyi ni vipofu hamjui kitu. kuna siku mtafumbuka macho.Kama wewe wakili kwa mtazo wangu nahitakiji kujiridhisha kwa Hilo, vinginevyo nitasema ni wakili wa upande wa mashitaka. Katika kesi iliyo moto hivi sasa.
Labda swali ni taratibu za mtoa ushahidi zikoje? Anaruhusiwa kuwa na hivyo vitu kwenye kizimba? Maana mawakili wa utetezi walimuona akisoma. Sasa tungoje kesho tuone.jambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?
halafu, shahidi yeyote, awe wa jamhuri au shahidi wa mshitakiwa, kabla hajaingia pale kizimbani huwa kuna nafasi ya kwenda kuendaliwa. hata mashahidi wa mbowe kabal hawajaingia kizimbani watachukuliwa na kina kibatala kwenda kwenye chumba cha siri wakamwandae pre-trial, kwa hiyo kwa akili zenu mnafikiri kwa ushaidi wa askari polisi kutakuwa na kitu kama walikuwa na nia ya kumfundisha watakuwa hawakumfundisha hadi aingie kizimbani? mbona mna akili finyu sana ninyi?
Inakumbusha utotoni kuna dogo aliweka nyama ya moto mdomoni, akaanza kulia. Anaambiwa tema, anajibu "siwezi kutema chakula", akaambiwa meza basi, anajibu "siwezi kumeza ni cha moto". Akaachwa apambane na hali yake.Mtama mchungu, pande la nyama walilobugia la moto kutafuna hawawezi kutema hawawezi kwani limewakwama kilichobakia, kwao ni kifo😃.
Acha ujuha wewe...mimi sio shahidi, ila ni mwanasheria nafuatilia pia hiyo kesi. na mahakamani kwangu ni kama nyumbani, nashinda huko jumatatu hadi ijumaa.
Mbona ameshaeleza vizuri kwenye comments zake za mwanzo? Kama unapingana naye si ulete wewe ushahidi kuwa ni kosa shahidi kuingia na diary kwenye kizimba?Acha ujuha wewe...
Wewe ni Mwanasheria gani wakati presentation ya arguments zako tu hapa inadhihirisha ingalau labda wewe ni "bush lawyer" tu...
Kama wewe ni lawyer kweli, hebu elezea kwa ufasaha wote sheria ya ushahidi na mashahidi inasemaje kuhusu hili..
Ukishindwa, basi nitakuamuru uache mara moja kujitangaza kuwa wewe ni mwanasheria...!!!
shule hiyo hukuielewa. diary na simu sio vitu haramu mahakamani, ila vikitumiwa vibaya ndio vinaweza kusababisha uharamu. kuingia na diary mahakamani sio kosa, ila kuitumia bila ridhaa ya mahakama sio kosa, but generally kuitumia pia sio kosa (ila kutumia bila ridhaa). zaidi ya yote, mawakili wake hawajasema walimwona, wanasema prof j aliwatumia msg kwamba amemuona anasoma, alithibitisha vipi kuwa alikuwa anasoma hiyo diary amwone yeye aliye mbali na wakili anamhoji asimwone? hauoni ukakasihapo? soma section 168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.Labda swali ni taratibu za mtoa ushahidi zikoje? Anaruhusiwa kuwa na hivyo vitu kwenye kizimba? Maana mawakili wa utetezi walimuona akisoma. Sasa tungoje kesho tuone.
Ila nakumbuka tukiwa shule, ukikutwa na vitu haramu, haijalishi kama ulitumia au hukutumia, unakwenda na maji.
wewe ni mjinga huna uwezo kubishana na mimi. soma sections 168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.Acha ujuha wewe...
Wewe ni Mwanasheria gani wakati presentation ya arguments zako tu hapa inadhihirisha ingalau labda wewe ni "bush lawyer" tu...
Kama wewe ni lawyer kweli, hebu elezea kwa ufasaha wote sheria ya ushahidi na mashahidi inasemaje kuhusu hili..
Ukishindwa, basi nitakuamuru uache mara moja kujitangaza kuwa wewe ni mwanasheria...!!!
Thank you...wewe ni mburura na huna akili. mimi unayeongea naye nilishahoji mashahidi pale kizimbani hadi nimechoka. ni mara nyingi tu nimeomba mahakama iruhusu shahidi arefresh kwenye kumbukumbu zake, inaruhusiwa kisheria. hata jaji kesho utamsikia atakuambia kuwa mere possession ya ile diary au kalamu au simu sio kosa, ila kutumia bila ridhaa ya mahakama ndio kosa. swali ni je, kuna uthibitisho kwamba alitumia diary kusoma majibu? ni wakati gani wakati wakili wenu muda wote alikuwa anamuangalia na hakuona hilo?
usiongee kama mtu asiye hoja. ongea hoja.
Kwa nini sasa jaji aliruhusu vifaa vya shahidi vichukuliwe? Kwa nini jaji asingetoa ufafanuzi pale pale kwamba shahidi hajavunja sheria yoyote na aachwe tuu na vitu vyake?Ulishatoa ushahidi hata mara moja mkuu?. Kama ni kosa mbona alirudishiwa simu yake siku ileile? Nyumbu ni shida hata kuushughulisha ubongo wenu ni shida tupu!!
soma sections 168 na 169 za TEA, kama una akili utanyamaza kimya hautarudi tena hapa kubishana.Mbona unawashwa,subiri ruling kesho
section 168 na 169 vya TEA.Thank you...
Labda mimi ni "mburura...."
Lakini nakuhakikishia hili, kuwa wewe ndiye hasa Mburura and I'm not like you...
Na kama unabisha, weka au itaje tu sheria ya ushahidi na mashahidi na kifungu kinachotetea hiki unachotetea hapa...
Ukishindwa ndani ya dakika 15 kufanya hivyo, rasmi wewe utakuwa MBURURAAAA....!!!
Ndio maana nikasema, je alitumia au alikuja navyo tu? Kama sio kosa kuingia navyo, it's okay. Issue inakuja alitumia or not? Sijui ni namba gani mahakama inaweza kuamua hili, lakini either way; upande wa serikali kama walikuwa wanataka mashahidi wao wawe wanapiga chabo; huo ndio mwisho wake, siamini kama jaji atakuwa torelant na watu kuingia na vitu vinavyoweza kuleta mashaka kwenye mwenendo wa kesi.shule hiyo hukuielewa. diary na simu sio vitu haramu mahakamani, ila vikitumiwa vibaya ndio vinaweza kusababisha uharamu. kuingia na diary mahakamani sio kosa, ila kuitumia bila ridhaa ya mahakama sio kosa, but generally kuitumia pia sio kosa (ila kutumia bila ridhaa). zaidi ya yote, mawakili wake hawajasema walimwona, wanasema prof j aliwatumia msg kwamba amemuona anasoma, alithibitisha vipi kuwa alikuwa anasoma hiyo diary amwone yeye aliye mbali na wakili anamhoji asimwone? hauoni ukakasihapo? soma section 168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.
168.-(1) A witness may, while under examination, refresh
his memory by referring to any writing made by himself at the
time of the transaction concerning which he is questioned or so
soon afterwards that the court considers it likely that the
transaction was at that time fresh in his memory.
169. Whenever a witness may refresh his memory by
reference to any writing he may, if the court is satisfied that there
is sufficient reason for the non-production of the original and
with the permission of the court, refer to a copy of such writing.
sasa, kama shahidi huwa wakati mwingine anaruhusiwa kurefresh memory kwa kutumia nyaraka mbalimbali, diary ni nyaraka pia made by him, kwanini asiwe nayo kizimbani? nimewaletea sheria sasa, pambaneni nayo hiyo.