William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Mimi nauita weledi wa wanakijani huo, na pia weledi was wabambikiaji wa kesi tajwa.Ivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba simu kabla hajapanda Kizimbani.
2. Je waliamini kbs shahidi hakuja mahakamani na simu.
3. Simu NI kitu kinachoonekana kirahisi mfukoni. Kwa shaidi uliyekuwa nae huwezi kuona kuwa anaingia na simu kwa kuona upana wa mifuko. Yani upana wa mifuko.
Je waliacha haya yatokee makusudi ili kesi iharibike.
Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.Ivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba simu kabla hajapanda Kizimbani.
2. Je waliamini kbs shahidi hakuja mahakamani na simu.
3. Simu NI kitu kinachoonekana kirahisi mfukoni. Kwa shaidi uliyekuwa nae huwezi kuona kuwa anaingia na simu kwa kuona upana wa mifuko. Yani upana wa mifuko.
Je waliacha haya yatokee makusudi ili kesi iharibike.
Kwa kuwa ni sehemu ya timu bambikizi lazima utetee uchafu, kwani mzee wa chabo aliomba kibali wapi kuingia na simu na nyoongeza ya dayari.Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vitu kama namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
Ulishatoa ushahidi hata mara moja mkuu?. Kama ni kosa mbona alirudishiwa simu yake siku ileile? Nyumbu ni shida hata kuushughulisha ubongo wenu ni shida tupu!!Kwa kuwa ni sehemu ya timu bambikizi lazima utetee uchafu, kwani mzee wa chabo aliomba kibali wapi kuingia na simu na nyoongeza ya dayari.
Vipi fisi, wale wa kijani, ulafi wao una ona sio shida. Vipi kuhusu ukatili wao na unyama wao Kwa wale wanaowapa nafasi hata ya kujimilikisha fursa zote wanazozipata kwa mgongo wa wanaowawezesha kuona pakudhulumu na wakumdhulumu.Ulishatoa ushahidi hata mara moja mkuu?. Kama ni kosa mbona alirudishiwa simu yake siku ileile? Nyumbu ni shida hata kuushughulisha ubongo wenu ni shida tupu!!
Ina maana we unajua kuliko akina kibatara?Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
Tumekubaliana usipige spana za nguvu Sana wasije kushtuka! Watasanda TU kabla ya kumaliza mashahidi wao wa kuchonga!Mimi nauita weledi wa wanakijani huo, na pia weledi was wabambikiaji wa kesi tajwa.
Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
Ona unavyojikoroga! Huyo shahidi wako aliomba idhini Kwa jaji kuzitumia hizo nyenzo zake? Unazijua taratibu za mahakama? Pambania buku Saba Yako mwayego kwani sheria kwako ni sawa kumbaka nyau!Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
jambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?Ivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba simu kabla hajapanda Kizimbani.
2. Je waliamini kbs shahidi hakuja mahakamani na simu.
3. Simu NI kitu kinachoonekana kirahisi mfukoni. Kwa shaidi uliyekuwa nae huwezi kuona kuwa anaingia na simu kwa kuona upana wa mifuko. Yani upana wa mifuko.
Je waliacha haya yatokee makusudi ili kesi iharibike.
there is no evidence kwamba alizitumia, alishika tu. kuzishika tu pale bila kuzitumia sio kosa, kwasababu huwa ana haki ya kuomba kurefresh toka kweney kumbukumbu zake pia wakati akitoa ushahidi.Ona unavyojikoroga! Huyo shahidi wako aliomba idhini Kwa jaji kuzitumia hizo nyenzo zake? Unazijua taratibu za mahakama? Pambania buku Saba Yako mwayego kwani sheria kwako ni sawa kumbaka nyau!
Kwa wote wanaouzia akili zao lile geti mbogamboga no shida kuelewa mambo haya Kwa urahisi.Tukueleweje sasa? Maana unaji - contradict mwenyewe kwa kusema;
å Hakuna sheria inayoruhusu shahidi kuingia na simu, kalamu ama na diary/note book, na;
Wakati huo huo unasema;
å Isipokuwa kosa ni kutoa ushahidi huku ukisoma sehemu (hopefully ikiwa na maana ya diary au notebook au karatasi yoyote)
## Sasa tuambie tofauti ya A na B ni nini?
## Maana ni obviously, kama mtu yuko kizimbani na notebook au diary au karatasi ya maandishi tafsiri yake ni kuwa alikuwa anasoma..., au siyo?
## By the way unadhani wanasheria na mawakili wa upande wa utetezi ni wajinga na hawaelewi sheria hata kupoteza muda wa mahakama kwa kuliibua hilo...?
## Nakuhakikishia jambo moja, kuwa, hawa wabambika/watunga kesi za uongo wanaweza kuruka mtego wa 1 labda na wa 2 na pengine na wa 3 lakini wa 4 lazima Jamhuri na Jaji wao wajitie kitanzi wenyewe...!!!
WAIT & SEE. Nimetamka mimi The Palm Tree
Kabla hatujaendelea tuambie wewe ni shahidi wa ngapi upande wa mashitaka?jambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?
halafu, shahidi yeyote, awe wa jamhuri au shahidi wa mshitakiwa, kabla hajaingia pale kizimbani huwa kuna nafasi ya kwenda kuendaliwa. hata mashahidi wa mbowe kabal hawajaingia kizimbani watachukuliwa na kina kibatala kwenda kwenye chumba cha siri wakamwandae pre-trial, kwa hiyo kwa akili zenu mnafikiri kwa ushaidi wa askari polisi kutakuwa na kitu kama walikuwa na nia ya kumfundisha watakuwa hawakumfundisha hadi aingie kizimbani? mbona mna akili finyu sana ninyi?
Aliomba hiyo ruhusa? Mbona unajikoroga? Angeomba ruhusa ya kuwa nazo jaji angemteteta siyo? But hakumtetea zaidi Sana alimwombea simu isibaki mahakamani! Elewa hivyo!th
there is no evidence kwamba alizitumia, alishika tu. kuzishika tu pale bila kuzitumia sio kosa, kwasababu huwa ana haki ya kuomba kurefresh toka kweney kumbukumbu zake pia wakati akitoa ushahidi.
sikuelewei, kwamba mimi hapa naye ni shahidi? auKabla hatujaendelea tuambie wewe ni shahidi wa ngapi upande wa mashitaka?
Ndio, wangapi?sikuelewei, kwamba mimi hapa naye ni shahidi? au
mimi sio shahidi, ila ni mwanasheria nafuatilia pia hiyo kesi. na mahakamani kwangu ni kama nyumbani, nashinda huko jumatatu hadi ijumaa.Ndio, wangapi?