Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

Ina maana we unajua kuliko akina kibatara?
Kibatala anajua lakini anataka kula pesa ya nyumbu. Si ulimsikia alisema ametumiwa sms kuwa shahidi ana refer kwenye diary wakati yeye hakuona sasa ili awaridhishe ndiyo aka raise hiyo objection.
 
Kibatala anajua lakini anataka kula pesa ya nyumbu. Si ulimsikia alisema ametumiwa sms kuwa shahidi ana refer kwenye diary wakati yeye hakuona sasa ili awaridhishe ndiyo aka raise hiyo objection.
yaani yeye anayemhoji ambaye ndio lazima amuangalie shahidi usoni hajamuona, halafu aliyeko nyuma kule ndo amuone, na msg hiyo kibatala aliisoma saa ngapi wakati alikua anahoji shahidi? wakili wa utetezi anayemhoji asimwone alafu prof j asiye mhoji ndio amwone? hamuoni uongo wa mchana? na huyo prof j ana ushahidi huo kama akiambiwa autoe pale mahakamani, hata amuone yeye tu wengine wote wasimwona hata wale wanaoichukia sana serikali pale ndani?
 
Mtama mchungu, pande la nyama walilobugia la moto kutafuna hawawezi kutema hawawezi kwani limewakwama kilichobakia, kwao ni kifo😃.
 
Mbona unawashwa,subiri ruling kesho
 
Jibu maswali haya;

1. Unasema " diary, kalamu na diary/notebook ni mali binafsi za shahidi, katoka nazo nyumbani kwake". Kwa hili tu, kumbe kweli wewe ni chapwa24 maana possibly wewe twenty four hours unakuwaga unachapwa tu..!!

Hii kwa maana yako ni kuwa hata shahidi akipanda kizimbani na chupa za gongo au bia, argument yako itakuwa ni sawa tu kwa kuwa ni mali yake, right..??

2. By the way, ni wazi kuwa wewe una - argue haya mambo blindly, kwa hisia za "ujinga" tu wa kukosa uelewa na ufahamu, au siyo...?

Mathalani, wewe unaijua sheria ya ushahidi na mashahidi inasemaje kuhusu hilo..?
 
mimi sio shahidi, ila ni mwanasheria nafuatilia pia hiyo kesi. na mahakamani kwangu ni kama nyumbani, nashinda huko jumatatu hadi ijumaa.
Kama wewe wakili kwa mtazo wangu nahitakiji kujiridhisha kwa Hilo, vinginevyo nitasema ni wakili wa upande wa mashitaka. Katika kesi iliyo moto hivi sasa.
 
Hapo kuna vitendo viwili: Kuingia na diary na Kusoma diary. Kuingia na diary notebook, simu ni ruksa. Isipokuwa kusoma hivyo vitu bila ruhusa ya mahakama ndiyo kosa yaani nikinyume cha utaratibu ila ukiomba mahakama ujikumbushe na mahakama ikakubali hakuna kosa. Hivi unajua shahidi pia anaweza kutoa ushahidi wake kupitia video call?
 
wewe ni mburura na huna akili. mimi unayeongea naye nilishahoji mashahidi pale kizimbani hadi nimechoka. ni mara nyingi tu nimeomba mahakama iruhusu shahidi arefresh kwenye kumbukumbu zake, inaruhusiwa kisheria. hata jaji kesho utamsikia atakuambia kuwa mere possession ya ile diary au kalamu au simu sio kosa, ila kutumia bila ridhaa ya mahakama ndio kosa. swali ni je, kuna uthibitisho kwamba alitumia diary kusoma majibu? ni wakati gani wakati wakili wenu muda wote alikuwa anamuangalia na hakuona hilo?

usiongee kama mtu asiye hoja. ongea hoja.
 
Kama wewe wakili kwa mtazo wangu nahitakiji kujiridhisha kwa Hilo, vinginevyo nitasema ni wakili wa upande wa mashitaka. Katika kesi iliyo moto hivi sasa.
ningelikuwa wakili wa mashtaka lazima ningeomba nafasi nikaendeshe hii kesi. tatizo nilishatoka huko, ila najua kinachoendelea kwasababu nilishawahi kuwa huko kipindi cha nyuma na nikiwa huko niliwafahamu sana hao wanasiasa wanaowatumia kujinufaisha na ninyi ni vipofu hamjui kitu. kuna siku mtafumbuka macho.
 
Labda swali ni taratibu za mtoa ushahidi zikoje? Anaruhusiwa kuwa na hivyo vitu kwenye kizimba? Maana mawakili wa utetezi walimuona akisoma. Sasa tungoje kesho tuone.

Ila nakumbuka tukiwa shule, ukikutwa na vitu haramu, haijalishi kama ulitumia au hukutumia, unakwenda na maji.
 
Mtama mchungu, pande la nyama walilobugia la moto kutafuna hawawezi kutema hawawezi kwani limewakwama kilichobakia, kwao ni kifo😃.
Inakumbusha utotoni kuna dogo aliweka nyama ya moto mdomoni, akaanza kulia. Anaambiwa tema, anajibu "siwezi kutema chakula", akaambiwa meza basi, anajibu "siwezi kumeza ni cha moto". Akaachwa apambane na hali yake.
 
mimi sio shahidi, ila ni mwanasheria nafuatilia pia hiyo kesi. na mahakamani kwangu ni kama nyumbani, nashinda huko jumatatu hadi ijumaa.
Acha ujuha wewe...

Wewe ni Mwanasheria gani wakati presentation ya arguments zako tu hapa inadhihirisha ingalau labda wewe ni "bush lawyer" tu...

Kama wewe ni lawyer kweli, hebu elezea kwa ufasaha wote sheria ya ushahidi na mashahidi inasemaje kuhusu hili..

Ukishindwa, basi nitakuamuru uache mara moja kujitangaza kuwa wewe ni mwanasheria...!!!
 
Mbona ameshaeleza vizuri kwenye comments zake za mwanzo? Kama unapingana naye si ulete wewe ushahidi kuwa ni kosa shahidi kuingia na diary kwenye kizimba?
 
shule hiyo hukuielewa. diary na simu sio vitu haramu mahakamani, ila vikitumiwa vibaya ndio vinaweza kusababisha uharamu. kuingia na diary mahakamani sio kosa, ila kuitumia bila ridhaa ya mahakama sio kosa, but generally kuitumia pia sio kosa (ila kutumia bila ridhaa). zaidi ya yote, mawakili wake hawajasema walimwona, wanasema prof j aliwatumia msg kwamba amemuona anasoma, alithibitisha vipi kuwa alikuwa anasoma hiyo diary amwone yeye aliye mbali na wakili anamhoji asimwone? hauoni ukakasihapo? soma section 168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.

168.-(1) A witness may, while under examination, refresh
his memory by referring to any writing made by himself at the
time of the transaction concerning which he is questioned or so
soon afterwards that the court considers it likely that the
transaction was at that time fresh in his memory.

169. Whenever a witness may refresh his memory by
reference to any writing he may, if the court is satisfied that there
is sufficient reason for the non-production of the original and
with the permission of the court, refer to a copy of such writing.

sasa, kama shahidi huwa wakati mwingine anaruhusiwa kurefresh memory kwa kutumia nyaraka mbalimbali, diary ni nyaraka pia made by him, kwanini asiwe nayo kizimbani? nimewaletea sheria sasa, pambaneni nayo hiyo.
 
wewe ni mjinga huna uwezo kubishana na mimi. soma sections 168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.

168.-(1) A witness may, while under examination, refresh
his memory by referring to any writing made by himself at the
time of the transaction concerning which he is questioned or so
soon afterwards that the court considers it likely that the
transaction was at that time fresh in his memory.

169. Whenever a witness may refresh his memory by
reference to any writing he may, if the court is satisfied that there
is sufficient reason for the non-production of the original and
with the permission of the court, refer to a copy of such writing.
 
Thank you...

Labda mimi ni "mburura...."

Lakini nakuhakikishia hili, kuwa wewe ndiye hasa Mburura and I'm not like you...

Na kama unabisha, weka au itaje tu sheria ya ushahidi na mashahidi na kifungu kinachotetea hiki unachotetea hapa...

Ukishindwa ndani ya dakika 15 kufanya hivyo, rasmi wewe utakuwa MBURURAAAA....!!!
 
Ulishatoa ushahidi hata mara moja mkuu?. Kama ni kosa mbona alirudishiwa simu yake siku ileile? Nyumbu ni shida hata kuushughulisha ubongo wenu ni shida tupu!!
Kwa nini sasa jaji aliruhusu vifaa vya shahidi vichukuliwe? Kwa nini jaji asingetoa ufafanuzi pale pale kwamba shahidi hajavunja sheria yoyote na aachwe tuu na vitu vyake?
 
section 168 na 169 vya TEA.

168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.

168.-(1) A witness may, while under examination, refresh
his memory by referring to any writing made by himself at the
time of the transaction concerning which he is questioned or so
soon afterwards that the court considers it likely that the
transaction was at that time fresh in his memory.

169. Whenever a witness may refresh his memory by
reference to any writing he may, if the court is satisfied that there
is sufficient reason for the non-production of the original and
with the permission of the court, refer to a copy of such writing.
 
Ndio maana nikasema, je alitumia au alikuja navyo tu? Kama sio kosa kuingia navyo, it's okay. Issue inakuja alitumia or not? Sijui ni namba gani mahakama inaweza kuamua hili, lakini either way; upande wa serikali kama walikuwa wanataka mashahidi wao wawe wanapiga chabo; huo ndio mwisho wake, siamini kama jaji atakuwa torelant na watu kuingia na vitu vinavyoweza kuleta mashaka kwenye mwenendo wa kesi.

Swali la muhimu ni kwamba? Kwanini uende na diary pale kwenye kizimba kama sio alikuwa na nia ya kutumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…