Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

yap, hivyo vifungu nimewapeni vishikeni ili siku nyingine msipoteze muda kubishana na upepo.
Hebu fafanua vizuri.... kama inaruhusiwa kuingia na material za ku-refresh memory? Tatizo ilikuwa ni nini mpaka kukawa na utata? Na kama ni clear kwamba inaruhusiwa, kwanini Jaji aone umuhimu wa kusimamisha proceedings kupisha hili jambo?

Maana you are making it look like it's not a big deal; but it has been a big deal. Au niulize, ni wakati gani diary inaweza kuzuiwa kwenye kizimba?
 

1. chapwa24, kwanza nikuhakikishie hili, mimi naelewa kimombo kuliko wewe unavyokielewa...!

2. Unàchobishana na mimi hapa ni nini hasa? Kwa sababu sheria inaruhusu hilo kweli lakini kwa discretions kuwa awe na ruhusa ya Jaji kwa kuzingatia sheria na anachokifanyia reference au refreshment kama unavyosema kiwe ktk boundaries zinazoruhusiwa na sheria...

3. Mwisho, kama ndivyo, basi tusubiri maamuzi ya jaji kesho atasemaje...
Maelezo yangu juu yanajitosheleza na Jaji atazingatia vifungu hivi. Muhimu ni kuwa, uamuzi wake ujibu maswali haya;

1. Kutumia simu, diary na kalamu akiwa kizimbani aliruhusiwa na mahakama kwa kufuata utaratibu wa kisheria unavyoelekeza...?

2. Yaliyo ndani ya vifaà vyake hivyo yako ndani ya mipaka (boundaries) ya yanayoruhusiwa na sheria? Kwa maana yako specific relevant na kile alichokuwa anakielezea ktk kutoa uahahidi wake wakati huo?
 
ile kesi ni very sensitive, na sio kwa kesi ile tu, kwa kesi zote, wakati wowote wakili akisimama na kuraise jambo linaloathiri proceedings, jaji au hakimu anatakiwa kutafuta ufumbuzi kwanza ili yule wakili aonekane amesikilizwa na jaji au hakimu asionekana biased upande mmoja. kwahiyo ilikuwa ni haki ya kikatiba kabisa kumpa benefit of doubt kibatala kusimamisha mahakama ili asikilize na kufumbua tatizo la hoja yake. lakini hapohapo, jiulize kwanini jaji alimuuliza kibatala kama alimuona huyo shahidi akivitumia hivyo vitu au ni ile mere possession akiwa kizimbani. kuna mengi, majibu mtayapata kesho. shida ya kibatala huwa anakurupuka ili apate kuokana na watu kuwa anafanya kazi wakati hanaga hoja za kisheria ila siasa tu kwa sisi tunaomjua.
 
nashukuru unakubali kuwa shahidi hakatazwi kuwa na hizo docs pale kizimbani. haona akili zimeanza kukurudi hauendi kama nyumbu tena.

sasa, kama sheria inaruhusu kuwa navyo (kwa maana kwamba haikatazi kupanda navyo kizimbani), unaweza kuniambia kama kuna proof yeyote kwamba shahidi alivitumia ili tuestablish kwamba alifanya hivyo bila ridhaa ya mahakama ili tumhukumu huyu shahidi kama unavyotaka?

No, hakuna uthibitisho kuwa alivitumia, jaji hakumwona shahidi, mawakili wa utetezi hawakumwona, kibatala anasema kuna mtu amekaa kule kwenye viti prof j amenitumia msg, kweli hadi prof j aone wewe uliye karibu na shahidi usimwone? huoni kama kibatala ali act kwenye mambo ambayo hana uhakika nayo akaimove mahakama kuanza kuhangaika na kitu cha kijinga? na ndio wakili wenu huyo mnategemea amtoe mbowe, hivi mbowe amewakosea nini aisee hadi mnamtelekeza hivi, kuna mawakili kibao wazuri huko?

nawewe,nijibu swali hili ambalo litakupa majibu ya maswali yako yote? Je, kuna uthibitisho pasi na shaka kwamba shahidi alisoma diary hiyo? ridhaa tunajua hakuwa nayo, ila kusoma alisoma au hakusoma? prove it.
 
1. Hapana, Mimi siyo mjinga. Hilo la ujinga nalirudisha kwako mwenyewe...

2. Kweli Mimi siwezi kubishana na wewe, lakini [kama ukitaka] naweza kukuelekeza yakupasayo kufahamu kuhusu hili...

3. Hayo ya kisheria, nimeeleza kwa kirefu huko juu. Unaweza kuchukua notebook/diary yako na kalamu ukipenda hata na simu na uka - refresh bila shaka...!!
 
hivi hapo unajiona umeongea nini sasa? umeuza akili?
 
Mkuu nimeuliza swali jepesi, kama hakuna shida kwa shahidi kuingia na diary kwenye kizimba, kwanini Jaji aliwa-entertain mawakili wa utetezi. Unaposema Jaji amewapa benefit of the doubt, maana yake there's a possibility of something being wrong. What was that? Nini inaweza kuwa shida? Maana siamini kama jaji anayejua kwamba, "hakuna shida shahidi kuingia na diary", akaamua tu kuleta masihara kwenye kesi.
 
aliwaentatain wao kwasababu wao ndio waliotoa hoja. mbona kitu kirahisi sana kuelewa? ndio maana nikakuuliza, jiulize kwanini ni jaji huyohuyo alimwuliza kibatala kama amemuona akiisoma au hajamwona, kibatala ndo kaanz akutapatapa kuwa kaambiwa sijui vilikwenda vikarudi. sifuri tupu.
 
Man.... you are jumping around.

What could be an issue with a witness having a diary on the stand?

Maana umekuwa ukidai hakuna shida yoyote? Au jaji ameamua tu kuwasikiliza hata kama anajua hoja yao ni ya kipuuzi?
 
Man.... you are jumping around.

What could be an issue with a witness having a diary on the stand?

Maana umekuwa ukidai hakuna shida yoyote? Au jaji ameamua tu kuwasikiliza hata kama anajua hoja yao ni ya kipuuzi?
ukitoa hoja mahakamani hata kama ni ya kipuuzi, huwa lazima isikilizwe kama itakuwa imerekodiwa kwenye proceedings, usiposikiliza kesi ikienda appeal, itaonekana hukuwasikiliza. utaonekana uliwasikiliza kama utaiandika ukaichambua na kutoa sababu za kuikataa au kuikubali. kwahiyo usichanganyikiwe na jaji kuonekana anajalii hoja yao, ni kitu cha kawaida. pia subiri kesho,sio mbali, usianticipate nini kitatokea kwasababu hata jaji naye wakati mwingine ni mwanadamu huwa anapotelewa na sheria na taratibu kichwani, ila cha muhimu nimewawekeeni sheria isiyokataza kuwa na hizo nodo pale. at least hizo nimewasaidia mfunguke hizo akili zenu ngumu.
 
Okay....

Ngoja tuone, lakini kama ni kweli it's okay kwa shahidi kuingia na "nondo", ninachojiuliza ni kwanini wengi hawaingii nazo?
 
Okay....

Ngoja tuone, lakini kama ni kweli it's okay kwa shahidi kuingia na "nondo", ninachojiuliza ni kwanini wengi hawaingii nazo?
hujawa mahakamani muda mrefu tu. sisi wenzio ambao tunashinda huko hicho ni kitu cha kawaida hadi tunamshangaa kibatala anapotaka kuifanya kuwa ni issue kuuubwa. siasa tu. kesho kesi ikiendelea njoo ulete mrejesho hapa kama kuna umuhimu wa kuendelea kubishana.
 
Zulumati la Fao la Kujitoa
 
Profesa jay ndiye alimtumia ujumbe kibatala baada ya kumuona shahidi akisoma kwenye hiyo diary na ndio maana ilihitajika mawakili wapande zote mbili wakakague hiyo diary kama alichokua anakisoma kina relate na kesi ambayo inaendelea mahakamani

Jaji ndio aliwakingia kifua mawakili wa serikali kwa kutotoa idhini ya kukagua hiyo diary na kudai itafanyiwa uchunguzi jumatatu

Swali la msingi la kujiuliza ni tutaaminije kwamba diary atayotuoneshe hiyo kesho ndio ile diary aliyokutwa nayo shahidi pale kizimbani?

Vipi unashangaa? kwamba hutaona sababu ya mawakili wa utetezi kutilia shaka juu ya maamuzi ya jaji kua hayako fair?

Mahakama ambayo shahidi anapata access ya kumiliki nyaraka ambayo inatunzwa na uongozi wa mahakama na jaji hastuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…