Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

Ubunge hakuna kongozi anaeweza kumvua, hawana mamlaka hayo!
Labda ushangae kwa nini hajavuliwa uanachama wa chama cha mapinduzi mpaka sasa.
Hicho ndicho kitakachoweza kumvua ubunge.
Umenena vyema sana Kiongozi! Ahsante kwa mchango kabambe 🙏🏾
 
Watanzania chuki zitawaua...mm nachokiona hapa kuna ishu ya ukristo na uisalam na kuna ishu ya Ccm na Chadema...Huyu mama wala hajasema lolote ila wapambe sasa.
 
Kapuku wewe na waliokutuma....

Tumepiga chetezo altareni kwa miaka mingi ....unyama kama huu HAUVUMILIKI
 
wewe kama mwanaume kweli nenda karibu na msikiti useme hayo unayoyasema kwa waislamu uje na watu wako kama hukumtoa papa nyuma ya makalio, mnawatukana waislamu mtandaoni nende face to face ndio utajua hujui **** wewe
maisha yake yote hawezi kujaribu aende uso kwa uso hebu tuone we mpumbavu jihimize uende ukawatukane msikitini yaani ukayakanyage mwenyewe
 
Kesi ikishakuwa ya kijamii huwezi kuzuia watu kuonesha hisia zao ni namna gani wameguswa!! Hao watu wa dini yake,wakiibuka wa kabila lake wakisema sisi tutadeal naye kiasili watakuwa hawajakosea?? Kuna watu wa mtaani kwao,mbona nyie mnauliza watu wa chama chake,wabunge wenzie watoe msimamo yao??sijaona kosa hapo

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mbona maelekezo ya kawaid ya kudai Haki
 

Kushughulikia hii issue kwa misingi ya dini ni ushamba uliopitiliza na haya ndo madhara ya kuwa na nchi ya hovyo, nchi isiyofuata misingi ya sheria bali matakwa ya aliye na cheo. Ukiachana na suala la dini, kuna mrengo wa kikabila maana tumesikia mdogo wa Gekul amesika akizungumzia issue ya wachaga. Je, wachaga nao waje waibuke? Ni ushamba vile vile. Laiti tungekuwa nchi ya haki, kila mmoja akikosea ashughulikiwe haijalishi cheo chake, tusingefika hapa tulipofika.
 
Yaliyofanyika kwenye tukio hili ni maigizo; acha kukaa unahangaika na watu wanajuana; waache dola ipo itawanyoosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…