let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
kwa hiyo huyu Huwa Bidada hamtasema kuwa katumwa na Papa kama mnavyoimba misiktini kuwa Nyerere alitumwa na Papa kumpiga Amini Dada?.Papa yuko busy na ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo huyu Huwa Bidada hamtasema kuwa katumwa na Papa kama mnavyoimba misiktini kuwa Nyerere alitumwa na Papa kumpiga Amini Dada?.Papa yuko busy na ushoga
Haswaa awe kamfanyia kisa dini yake (japo sina uhakika) ziwe bifu za kibiashara kama wanavyosema wadau wengine, lakini huyu dada lazima ashughulikiwe mdwanzi tu,,Iwavyo vyovyote huyu dada ashughulikiwe
Umenena vyema sana Kiongozi! Ahsante kwa mchango kabambe 🙏🏾Ubunge hakuna kongozi anaeweza kumvua, hawana mamlaka hayo!
Labda ushangae kwa nini hajavuliwa uanachama wa chama cha mapinduzi mpaka sasa.
Hicho ndicho kitakachoweza kumvua ubunge.
Kapuku wewe na waliokutuma....Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.
Kwa maelezo yao wanasema kijana huyo amedhalilishwa kwa kuwa ni muislamu.
Wanasema sababu ya kudhalilishwa ni kwamba amehisiwa kutumika kufanya mambo ya ulozi kwenye hoteli ya Paulina Gekul. Wanadai zaidi kwamba watu wasio kuwa waislamu ( dini yao imetajwa) wengi wao wamekuwa na mtazamo hasi kuhusu waislamu na uislamu kwa kuwahusisha kwa.mfano na habari za majini nakadhalika na kwanba kitendo cha kijana huyo kufanyiwa unyama ni kielelezo cha chuki dhidi ya uislamu na waislamu.
Nadhani Soon mtamsikia Profesa Mazinge anaitolea tamko...
Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.
Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.
Hiyo plan B ...yao imefeli kabla ya jua KUCHOMOZAWanaingiza udini kama silaha ya kutaka kufifisha hoja ya msingi na kuwagawa watu kuhusu hii kashifa/jinai. Watashindwa tu.
Hivi huyu ni dada au mama??[emoji41][emoji41][emoji41]Haswaa awe kamfanyia kisa dini yake (japo sina uhakika) ziwe bifu za kibiashara kama wanavyosema wadau wengine, lakini huyu dada lazima ashughulikiwe mdwanzi tu,,
Inategemea kwako una umri gani anaweza kuwa hata bibi,,,Hivi huyu ni dada au mama??[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Nipo nyuma yakoView attachment 2827006
wewe jamaa ni mpuuzi na juha sana
maisha yake yote hawezi kujaribu aende uso kwa uso hebu tuone we mpumbavu jihimize uende ukawatukane msikitini yaani ukayakanyage mwenyewewewe kama mwanaume kweli nenda karibu na msikiti useme hayo unayoyasema kwa waislamu uje na watu wako kama hukumtoa papa nyuma ya makalio, mnawatukana waislamu mtandaoni nende face to face ndio utajua hujui **** wewe
Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.
Kwa maelezo yao wanasema kijana huyo amedhalilishwa kwa kuwa ni muislamu.
Wanasema sababu ya kudhalilishwa ni kwamba amehisiwa kutumika kufanya mambo ya ulozi kwenye hoteli ya Paulina Gekul. Wanadai zaidi kwamba watu wasio kuwa waislamu ( dini yao imetajwa) wengi wao wamekuwa na mtazamo hasi kuhusu waislamu na uislamu kwa kuwahusisha kwa.mfano na habari za majini nakadhalika na kwanba kitendo cha kijana huyo kufanyiwa unyama ni kielelezo cha chuki dhidi ya uislamu na waislamu.
Nadhani Soon mtamsikia Profesa Mazinge anaitolea tamko...
Paulina Gekul and ur co please zungumzeni na huyo muhanga myamalize off-judicial.
Yaliyofanyika kwenye tukio hili ni maigizo; acha kukaa unahangaika na watu wanajuana; waache dola ipo itawanyooshaKuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana huyo inadhulumiwa.