Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Asiambiwe ukweli?Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Walewale.Asiambiwe ukweli?
Wewe uliwahi ona wapi washabiki wa kila kitu wakiwa na akili?Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Ukweli ni upi?Asiambiwe ukweli?
Ukweli upi?Asiambiwe ukweli?
Kwani wanatakaje??Ukweli ni upi?
Hata kama anajitolea wewe inakuhusu nini? Unataka kumuongezea kiasi kinachobakia?Analipwa kiasi gani hapo efm?
Suala la kulipwa kwake ni suala lake binafsi. Hata angeamua asifanye kazi tena au kwenda Chato FM ni maamuzi yake. Hayatuhusu.Analipwa kiasi gani hapo efm?
Nauliza tu, kuwa na Amani.Atakama ana jitolea wewe ina kuhusu nini? Una taka kumuongezea kiasi kinacho bakia?
Nilikuwa nauliza tu. Najua kuna watu wataleta majibu kamili juu ya mshahara wake. Wala usiwe na wasiwasiSuala la kulipwa kwake ni suala lake binafsi. Hata angeamua asifanye kazi tena au kwenda Chato FM ni maamuzi yake. Hayatuhusu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mamaeee walahhhhhBora afanye kazi ile Prado ilikuwa inaenda kufa engine kwa Road trip.