Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Umejuaje kama ameacha ama ameachishwa ama mkataba umeisha..??Ameacha BBC kwa ajili ya kuingia EFM?!
Lakini pia, unajua aina ya maisha aliokua anaishi huko London..??
Je alikua anafurahia maisha ya presha kubwa na kodi kubwa na house rent kubwa, gass na bills...??
Yaani mihua nachukia sana kuona mtu anajifanya kujua maisha ambayo hajawahi hata kuyaishi..mixxxuuu