Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya kwa vijana wapambanajiUkweli ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya kwa vijana wapambanajiUkweli ni upi?
Ukiwa maarufu, wewe unakuwa sio Kwa ajili ya wewe Tu, unakuwa Mali ya wote, utafatiliwa mpaka sehemu unayokunya na utapondwa au kupongezwa kulingana na status yako, ukiwa maarufu be careful Sana kulinda image, la sivyo unaweza ukawa kituko mpaka ukajidharauNimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya na vijana wapambanaji
Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Sikatai suala la kufuatiliwa. Ninachopinga kutaka kumpangia mtu maamuzi kwa suala ambalo havunji sheria wala kuharibu maadili. Ni ajabu!Ukiwa maarufu , wewe unakuwa sio Kwa ajili ya wewe Tu , unakuwa Mali ya wote , utafatiliwa mpak sehemu unayokunya , na utapondwa au kupongezwa kulingana na status yako, ukiwa maarufu be careful Sana kulinda image , la sivyo unaweza ukawa kituko mpak ukajidharau
Kuna muda watu unashindwa kuwaelewa hawakumsapoti alipokuwa anaenda BBC ,hawamchangii chochote sasa kaamua kufanya kazi EFM hawataki tenah😂😂😂wanataka brand kubwa akati ni desire ya mtuUsihukumu
Hauwezi kujua kilichomfanya aachane na BBC...Sio kila mtu anajielezea yanayomkuta
AiseeUkishuka kwenye range ukapanda passo lazma utushangaze wapenzi watazamaji 😁
Wabongo sometimes nawaelewa twende taratibu.Wabongo ni watu wa hovyo. Wili chache zilizopita, kulikuwa na 'rumours' kuwa anahamia Wasafi FM.
Walifurahi na kungoja kwa hamu, huku wakiipongeza management hiyo kwa jeuri ya kufikia dau la Kikeke.
Leo kwa sababu ni EFM, wamekaza makalio kuponda eti kajishusha.
Na hawa wengi wao ni Jobless, walichonacho ni hela za bundle na muda usio na kazi. Pumbavu
Ukweli upi..??Asiambiwe ukweli?
BBC to Azam siyo kushuka?Wabongo sometimes nawaelewa twende taratibu.
Charles Hilary BBC kaenda Azam sasa SMZ msemaji wa serikali.
Zuhura Yunus BBC straight Ikulu
Salim Kikeke BBC kaanza kuzurula then EFM
Wacha nikae kimya maana hata robo ya mafanikio yake sina
Kwa hatua aliyopiga ilibidi aanzishe Televisheni yake atoe platform kwa vijana wadogo waandishiMbona watu wanatoka PSG huko wanaenda timu ambazo hatuzijui uarabuni huko.
Sehemu ya kufanya kazi ni maamuzi ya mtu kulingana na vipaumbele vyake.