Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto.
Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika awamu zilizopita, je unazani watoto wetu waliotekwa kule simuyu na maeneo mengine mbali mbali wamepelekwa wapi? Ni wazi kabisa kuna dalili zote za uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa katika awamu ya mama samia.