Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

CHADEMA kiache udikiteta.

Kiwape watu uhuru wa kuamua mambo yao.
 
Kwanza futa kichwani kwako hicho unachoita KUIBA na KUPORA Uchaguzi, hayo ni maneno ya wanasiasa ya kuwalaghai. Lakini hawa watu wameshindwa kihalali kabisa kwenye uchaguzi. Hakuna walichowafanyia wananchi kwenye majimbo yao zaidi ya kujinufaisha wao na familia zao. Halikadhalika, Mgombea u Rais alietuliwa hakua mtu sahihi, haiwezekani kipindi chote mtu akae ughaibuni ghafla aje kuomba uraisi halafu ategemee wananchi wampe dhamana ya kuongoza nchi. Wakati mwenzie miaka yote mitano alikua anapiga kazi ambayo kila mtu aliiona.

Pili, kaa ukijua CHADEMA lazima wapeleke Viti Maalum Bungeni hawawezi kuachia hiyo fursa ipite hivi hivi labda kama hicho chama hakiongozwi na wachaga. Hapa kinachosubiriwa ni timing tu, wanasubiria msahau wafanye yao. Kama ni hatua, basi wangemchukulia Aida Khenani Mbunge wa Nkasi ambae pamoja na agizo la chama la kutotambua matokeo ya uchaguzi nchi nzima lakini ameapishwa na sasa anaendelea na majukumu yake ya kibunge kama kawaida. Kama wao ni wanaume wamfukuze huyu mbunge, mbona wameufyata.
 
Kama uongozi wa chama haujaridhia, wakienda Dodoma wafukuzwe uanachama.
Uongozi gani unausemea kuwa Kama hautaridhia? Acheni wivu wa Mbowe wa kutaka wakose wote kwani halima siyo kiongozi wa chama? Akiridhia kwenda maana Yake uongozi wa chadema umeridhia. Sasa mnaanza kumsingizia kiongozi aliyeunga juhudi, huyo Ana wadhifa gani Hadi chadema wamsikilize? Labda Kama hoja za Mbowe na genge lake hazina mashiko Basi wamsikilize mwenye hoja zenye mashiko.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Joyce Mukya yumo kwenye hiyo orodha?
 
Umevimbiwa pilau wewe
 
Naona unajichetua tu Kicheche

Maneno unaotumia yadhihirisha mwenendo wako Kicheche, wenye akili wameshaelewa.

Amini nakuambia hiyo ID unayotumia kutoa maneno yasiyo na staha kuna siku itakusaliti tuu
 
Maneno unaotumia yadhihirisha mwenendo wako Kicheche, wenye akili wameshaelewa.

Amini nakuambia hiyo ID unayotumia kutoa maneno yasiyo na staha kuna siku itakusaliti tuu
Unataka kukutana nami ?
 
Mpaka bunge la April 2021 Ndungai anaweza kuwa The Hague.
Akili za nyumbu hovyo kabisa, badala ya kuwaza vitu halisi mnawazo kuvuka mto tuu. Sasa Lissu na beberu lake amsterdam wamekuaminisha ujinga nawe umo tuu hata akili moja huna.
Endelea kusubiri hiyo the Hague huku viti Maalum wakiwa bungeni.
 
Akili za nyumbu hovyo kabisa, badala ya kuwaza vitu halisi mnawazo kuvuka mto tuu. Sasa Lissu na beberu lake amsterdam wamekuaminisha ujinga nawe umo tuu hata akili moja huna.
Endelea kusubiri hiyo the Hague huku viti Maalum wakiwa bungeni.
Baada ya kunyonga uchaguzi ndiyo mnatambua maana ya vitu halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…