Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kususa haisaidii kitu, cc uchaguzi serikali za mitaaKura zao chache za hapana zitasaidia nini dhidi ya kura nyingi za ndio?
Oct 28, kinachoendelea si unakiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kususa haisaidii kitu, cc uchaguzi serikali za mitaaKura zao chache za hapana zitasaidia nini dhidi ya kura nyingi za ndio?
Wewe hata huelewi. Point ni hii: huwezi kuzuia akina mama kwenda bungeni ila ukamuacha Aida aliyepatikana kwa uchaguzi huohuo umeokuwa termed kuwa batili. You cant eat ur cake and still have it!Aida Ana kosa gani Hadi achukuliwe hatua? SEMA kosa la Aida acha Mambo ya wivu wa Mbowe.
Mshua wako yeye tayari ana beberu hivyo yeye tayari ana sifa ya kwenda ulaya!Kila mwana chadema atafute Beberu lake ndo waende ulaya.
1.Inaelekea hujui kuwa zaidi ya asilimia 70 ya mawakala wa upinzani walizuiwa kuingia vituoniKwanza futa kichwani kwako hicho unachoita KUIBA na KUPORA Uchaguzi, hayo ni maneno ya wanasiasa ya kuwalaghai. Lakini hawa watu wameshindwa kihalali kabisa kwenye uchaguzi. Hakuna walichowafanyia wananchi kwenye majimbo yao zaidi ya kujinufaisha wao na familia zao. Halikadhalika, Mgombea u Rais alietuliwa hakua mtu sahihi, haiwezekani kipindi chote mtu akae ughaibuni ghafla aje kuomba uraisi halafu ategemee wananchi wampe dhamana ya kuongoza nchi. Wakati mwenzie miaka yote mitano alikua anapiga kazi ambayo kila mtu aliiona.
Pili, kaa ukijua CHADEMA lazima wapeleke Viti Maalum Bungeni hawawezi kuachia hiyo fursa ipite hivi hivi labda kama hicho chama hakiongozwi na wachaga. Hapa kinachosubiriwa ni timing tu, wanasubiria msahau wafanye yao. Kama ni hatua, basi wangemchukulia Aida Khenani Mbunge wa Nkasi ambae pamoja na agizo la chama la kutotambua matokeo ya uchaguzi nchi nzima lakini ameapishwa na sasa anaendelea na majukumu yake ya kibunge kama kawaida. Kama wao ni wanaume wamfukuze huyu mbunge, mbona wameufyata.
Kumbe na wewe unashiriki katika udikiteta wa viongozi wakuu wa CHADEMA?Wewe utakuwa CCM au utakuwa umeshiriki kwenye uchafuzi wa kuiba kura za wananchi
Wako wanaapishwa muda huu mkuuHahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.
Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Wanaapishwa muda huu.Hii habari hata haiingii akilini yaani hata mtoto mdogo hawezi kuiamini. Haiwezekani tu mtu ajipeleke kuapishwa kuwa mbuge wa vitu maalum bila ya kupitishwa na chama anachotokea. Engelikuwa hiyo inakubalika basi hata wanawake wa CCM wengi tu wangelijipeleka bila kugoja kuteuliwa. Pia bunge haliwezi kumuapisha mtu yeyote yule tu kwa kuwa tu ana kadi ya chama fulani. Pia Watanzania mkumbuke kuwa kwa mwanamke kuwa katika bunge kwa viti maalum kwa tiketi ya chama chechote kile ni lazima awe mwanachama wa chama fulani, kwa hivyo viongozi wa CHADEMA na CAT wameshika mpini hapa, yeyote yule atakaeapishwa kwa tiketi ya vyama vyao wanatamtoa kiurahisi bungeni kwa kumfukuza uanachama wa chama chao. Huwezi kuwa mbunge bila ya kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa, hiyo ndio sheria ya bunge la Tanzania.
Hii habari hata haiingii akilini yaani hata mtoto mdogo hawezi kuiamini. Haiwezekani tu mtu ajipeleke kuapishwa kuwa mbuge wa vitu maalum bila ya kupitishwa na chama anachotokea. Engelikuwa hiyo inakubalika basi hata wanawake wa CCM wengi tu wangelijipeleka bila kugoja kuteuliwa. Pia bunge haliwezi kumuapisha mtu yeyote yule tu kwa kuwa tu ana kadi ya chama fulani. Pia Watanzania mkumbuke kuwa kwa mwanamke kuwa katika bunge kwa viti maalum kwa tiketi ya chama chechote kile ni lazima awe mwanachama wa chama fulani, kwa hivyo viongozi wa CHADEMA na CAT wameshika mpini hapa, yeyote yule atakaeapishwa kwa tiketi ya vyama vyao wanatamtoa kiurahisi bungeni kwa kumfukuza uanachama wa chama chao. Huwezi kuwa mbunge bila ya kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa, hiyo ndio sheria ya bunge la Tanzania.
Nyie mnaropoka hovyo hamjui jinsi njaa ilivyo mbaya.....waacheni wakagannge njaa..nasikia wameshaapishwa.....wakigoma kuingia bungeni watakula nini ndani ya nchi ya chama kimoja? hebu jifikirieni.......hata wakifukuzwa uanachama , spika atawalinda kama kawaKama uongozi wa chama haujaridhia, wakienda Dodoma wafukuzwe uanachama.
WanaapishwaHahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.
Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
kwa mazingira yalivyo ni dhahiri kanunuliwaUnataka kusema halima mdee ambae ni mwenyekiti wa bawacha taifa na mjumbe wa kamati kuu hajui hizo taratibu??
Au utasema mdee nae kanunuliwa?
Hizo propaganda za wapishi wa propaganda!1.Inaelekea hujui kuwa zaidi ya asilimia 70 ya mawakala wa upinzani walizuiwa kuingia vituoni
2.Inaelekea hujaona kura feki za lumbesa kwenye mabegi na vikapu zikitafutiwa namna ya kujazwa kwenye masanduku
3.Inaelekea hujui jinsi polisi ilivyogoma kupokea malamiko na ushahidi wa kura feki zilizokamatwa kwa madai kuwa polisi haijihusishi na malamiko ya uchaguzi (Muulize Jacob Boniface)
4. Inaelekea wewe unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% na Maalim kapata below 20%
5. Inaelekea wewe hujui kuwa Mawakala wa vyama vya upinzani walipingwa zengwe kwenye kupewa nakala ya majumuisho ya kura
6.Inaelekea wewe hujui kuna vituo hewa kibao ambavyo havikuwemo kwenye nakala ya vituo vya NEC
7.Inaelekea wewe hujaona harrassment dhidi ya wapinzani kulikokuwa kukifanywa na jeshi la polisi kuelekea kwenye uchaguzi, kuwavamia, kudisturb ratiba zao za uchaguzi hadi kufikia hatua polisi inawaambia wapinzani hawatashinda (mfano kule Hai)
Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum.
Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima huko zamani kutokana na misimamo yao nje na ndani ya Bunge.
Hata hivyo inasemwa kuna mkakati unaoratibiwa na katibu mkuu wa zamani "aliyeunga mkono juhudi" ambaye ndiye anayeongoza jitihada xa kuwashawishi na kuwaweka sawa ili wakubali kusaliti msimamo wa chama chao.
Mimi ningependa kumkumbusha Mwenyekiti wa BAWACHA Halima Mdee kuwa hili suala linakwenda kupasua taasisi ya akuna mama wa CHADEMA. Kwanza kitendo cha wanawake kadha wa kadha kujichagua wao wenyewe na bila ridhaa ya Chama kwenda bungeni ni kinyume cha sheria ya nchi juu ya utaratibu wa viti maalum.
Sheria inataka majina ya Viti Maalum yawasilishwe kwenye mamlaka husika na katibu mkuu wa chama na si mtu kujipeleka mwenyewe.
Pili kitendo cha mwanachama kujiteua mwenyewe na kwenda kula kiapo kinyume cha utaratibu wa chama ni kuvunja wazi katiba ya chama maana mwanachama anakuwa amejitwalia mamlaka ya vikao mbalimbali vya chama vyenye kuhusika na teuzi za viti maalum.
Iwapo akina mama wa CHADEMA watakwenda kuchukua nafasi hizi za viti maalum kinyume cha sheria itakuwa ni kuweka haramu nyingine ya kisheria juu ya haramu ya uchaguzi feki, na utakuwa ni uhuni mwingine wa Ndugai na serikali kama uhuni mwingine wowote tuliokwisha ushuhudia.
Kuna swali nataka Halima Mdee anijibu
1. Yeye kama Mwenyekiti wa BAWACHA na mwanachama mwandamizi wa CHADEMA amefanya nini kuisaidia CHADEMA ili utaratibu wote wa kuheshimu maamuzi ya Uongozi wa CHADEMA katika ishu hiyo ya viti maalum ufuatwe?
2. Yeye kama muathirika mkuu wa wizi wa kura wa waziwazi aliofanyiwa wizi ambao tulishuhudia video zake, Je yuko tayari kwenda bungeni kinyume cha utaratibu wa Chama chake cha CHADEMA na ili kuhalalisha bunge ambalo limepatikana kwa dhulma kubwa dhidi ya wananchi?
Wito kwa Uongozi wa CHADEMA
Namshauri Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema, Iwapo Kuna kundi la wanachama wa CHADEMA watajitwalia mamlaka ya kwenda bungeni kuapa kuchukua viti maalum kinyume cha utaratibu wa chama basi hao wamevunja katiba ya chama na watu hao washughulikiwe mara moja. Kwa sababu hata mkiwaacha watakuwa na Loyalty iliygawanyika, watajifanya kuwa upande wenu kujiegemeza kisiasa na kutafuta political standing mbele ya umma lakini watakuwa very Loyal kwa CCM na serikali yake kwa sababu ndo wanawapa kula.
Sasa ili kuondoa sintofahamu inayoweza kutokea huko mbele, Iwapo watajitokeza na kwenda kujiapisha bila ridhaa ya chama, basi Fukuza wote bila kujali jina la mtu.
Kama mkiwaacha, basi wapo wanawake mamilioni wa CHADEMA wanaofuatilia suala hili kwa nguvu zote na watakatishwa tamaa kwa chama kuwa selective kwenye kusimamia mambo ya msingi yenye manufaa kwa demokrasia ya Taifa.
Pili kwa kuwa CCM wamemessup kwa kuiba, kupora chaguzi na sasa wanatafuta legitimacy kwa kujaribu kuwanunua wapinzani kadhaa wa kuwaingiza bungeni, kitendo cha kuwatimua uanachama hawa kitawaondolea CCM ile legitimacy wanayoitaka ya uwepo wa wapinzani bungeni. Hapo mwanzo CCM waligeuza uwepo wa wapinzani bungeni kama rallying object ya kupeleka mashambulizi n. k, Sasa wamo mle peke yao, hawana excuse mbele ya wananchi ya kutodeliver. Sasa kukosekana kwa wapinzani wanajikuta wako peke yao, bunge limekuwa la chama kimoja, limekosa legitimacy, ndiyo maana wanahaha wapinzani wawemo!
Mwisho kabisa niwaombe akina mama wa CHADEMA wanaosumbuliwasumbuliwa na CCM ili wakahalalishe uharamu wa uchaguzi ule
1. Mkienda mle, mtahalalisha ile haramu, na itakuwa modus operandi ya CCM, yaani utskuwa ndo mchezo wao, kupora maamuzi ya wananchi kisha wawalambisha pipi wapinzani wachache mambo yao ya udhalimu yanaendelea. Je mko tayari kutusaidia sisi wananchi kwa kukataa michezo hii ya kihuni au mnataka kutuacha sisi wananchi kwenye mataa?
2. Je mko tayari kwa sababu ya vipande vya fedha kuwatupa na kuwasaliti viongozi wenu wa Chama na chama ambao kiukweli kabisa wanasimamia maslahi mapana ya wananchi na Chama kwa kukataa kulegitimize uharamu. Je nyie mnataka kukisaliti chama chenu kilichowatoa mbali?
3. Enyi wanamama wa CHADEMA hata mkiingia humo bungeni, hao CCM watawadharau, watawaona sellout.
Kikubwa zaidi sisi wananchi tutawadharau sana, maana mtakuwa hampo kwa ajili ya wananchi.
Wizi wa kura kama huu hapa chini, utakubalije uchaguzi wa aina hii?
View attachment 1633707
Ngoja uone yatakayotokea ... we kalia utaratibu tuHahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.
Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Watu wameshaapishwa kuanza majukumu bungeniNi tetesi tu.