Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ni kazi yake hiyo kutengeneza taharuki tu.last time alikuwa anamhusisha Ester Bulaya kuwa aliandaa orodha, jana kamtaja Mashinji ni uzushi tu ili aendelee kuishi mjini.Jamaa style yake ya kutuhumu haijakaa poa.List ya mwanzo alituma akasema wafukuzwe,jana katuma majina baadhi ya mwanzo na mengine mapya;manake hawa ambao wametolewa wangeshakuwa wamefukuzwa kama alivyokuwa anataka si ingekuwa si haki? Mimi nadhani chama makini kisideal na uzushi au fununu