Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

Ni kazi yake hiyo kutengeneza taharuki tu.last time alikuwa anamhusisha Ester Bulaya kuwa aliandaa orodha, jana kamtaja Mashinji ni uzushi tu ili aendelee kuishi mjini.
 
Tena na Tanzania wahame wakaanzishe chama ulaya kwenye siasa safi
 
Ulitaka akubali kisha uanze kumtukana?
Kataa uamini siku ikifika hamtakuja na kuuliza tena humu mtakuja na hija nani achaguliwe ili aende bungeni, au nani kaachwa wakati alistahili.
Bungeni mna watu 370 hao 19 mnawataka wa nini?
 
Mwaka gani chadema ilikubali matokeo?
 
Mkuu huu ni ukweli japo wengi watakupinga, Hivi piga picha hao wafuasi wa slaa na Lowassa waliothirika na uchaguzi uliopita leo wako na hali gani.
 
Kuna watu kawataja kwenye ile orodha wamekanusha, na mimi nimeongea na mojawapo pia kakanusha juu ya hilo.
Mtu makini hawezi kuamini,na ukiangalia kwa umakini kawaweka viongozi BAWACHA-Mdee & Bulaya-mdee alivyokana tuhuma zikahamishiwa zaid kwa bulaya,nw wanataja tena wote kama mwanzo,kwa jicho la mbali unaona hapa ni uzushi mwingi kwa sababu hamna consistence ya habari,ila tatizo ninaloliona ni kwann kuharibu taswira ya mtu mwingine kwenye jamii bila kujiridhisha? Ila nachoisifu CDM ni kwamba wamejitahd kuwa very professional kudeal na changamoto.
 
Kuna watu kawataja kwenye ile orodha wamekanusha, na mimi nimeongea na mojawapo pia kakanusha juu ya hilo.
Kwa akli yako ulifkr watakubali ili walete taharuki ,
 
Kwanini wasipewe polisi hizo nafasi?
 
Kama wamekataa matokeo yote Kwa nn wamekuali mbunge wao mmoja aende bungeni , sambamba na hayo madiwani wa Chadema walioshinda still wanapiga kazi, kuna utata mkubwa kwenye hoja yako...
 
Siasa ni kazi sasa bola kwenda bungeni watapata nini.Nashauri waende bungeni huki wakiendeleza jitihada zao za kuipigania demokrasia.Zanzibar Cuf na mwalimu Seifu Sharifu Ahmad walisusia mwaka 2015 je nini walipata baada ya kususia kule?
 
Kama hamjui kigogo anasaidia Sana , mtakuwa watu wa ajabu msipomshukru huyo mwamba , anajaribu kuweka vitu waz ili isiwe surprise , wahusika wakiguswa wanakana ili kunetralize, ni Jambo la ajabu sa hv mnamuona zwazwa.... Wakat anajaribu kuexpose vitu vilivyopo behind the scene
 
Kama wamekataa matokeo yote Kwa nn wamekuali mbunge wao mmoja aende bungeni , sambamba na hayo madiwani wa Chadema walioshinda still wanapiga kazi, kuna utata mkubwa kwenye hoja yako...
Nafikiri hili ni Bunge lenye utata kuwahi kutokea,Huyu Mbunge mmoja kwa tiketi ya CHADEMA ana hoja za msingi kuwa Bungeni, Hivyo ni vizuri kusuburi vyombo halali vya Chama vikae na kutoa tafsiri ya Pamoja .
 
Wakienda bungeni ndio watapoteza heshima yote waliyonayo kwenye jamii, watajitia doa ambalo halitafutika.

Watanzania wa sasa wanaelewa kila kitu, ole wao hao wanawake.
Mashabiki wa siasa ndio huwa siriazi Ila sio wahusika wenyewe!

Na hata ukifuatilia, wengi wa wanaokufa kutokana na athali za kisiasa ni mashabiki na sio wagombea Kwa kuwa washabiki ndio huwa siriazi

Lakini wanasiasa, Leo Yuko Chadema, kesho Yuko CCM!!

Sasa wewe pambana!!!
 
Kama wamekataa matokeo yote Kwa nn wamekuali mbunge wao mmoja aende bungeni , sambamba na hayo madiwani wa Chadema walioshinda still wanapiga kazi, kuna utata mkubwa kwenye hoja yako...
Mkuu CHADEMA ni taasisi kama taasisi nyingine,na kabla maamuzi hayajachukuliwa juu ya uanachama wa mtu ni lazima vikao halali vya chama vifanyike juu ya jambo husika,na kufanya vikao ni logistics kubwa and very complicated hasa ukiangalia political environment ya sasa manake tunaongelea habari ya wajumbe wengine kuwa exile,polisi,nk.na mikutano mingine ya ndani ya chama kuharamishwa.Hope you will try to understand from their point of view.
 
Kutokana na jumla ya kura zote za wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…