Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

Ulitaka akubali kisha uanze kumtukana?
Kataa uamini siku ikifika hamtakuja na kuuliza tena humu mtakuja na hija nani achaguliwe ili aende bungeni, au nani kaachwa wakati alistahili.
Mimi siyo level uliyopo wewe kwamba nitatukana mtu kwa sababu ya msimamo wake.
 
Kwanza kama yule mbunge wa Nkasi kaenda bungeni, sioni kwa nini viti maalum, nafasi ya kikatiba wasiende. Pili, Viti maalum ni fursa ya kikatiba, ni kama hii ya kutoa maoni ambayo wewe leo umeitumia au kwenda unakotaka ili mradi auvunji sheria. Hasira isikufanye kusababisha wenye haki ya kikatiba waikose. Be humble.
 
Hapana,sidhan kama tumefikia point ya kumuona zwazwa-No.,Mtu yeyote anayesaidia struggle kwa namna yoyote ile ni wa kuthaminiwa mno,lakini anapokosea lazima tuseme kuweka mambo sawa and ofcourse mtu hawezi kuwa sahihi kwenye kila jambo.
 
Mtoa mada una upungufu Wa akili....suala linahusu chadema na bawacha hao kina halima Mdee....sasa spika Ndugai anaingiaje hapa? Unamuhusisha ndugai na masuala ya chadema ili iweje?

Kwanza Ndugai kama Spika hawezi kupokea mtu kiholela...anapewa majina na NEC maana wabunge wote hawawezi kupokelewa bungeni bila ya hati ya utambulisho toka NEC.
Hivi nyie bavicha network imekata nini,kutwa kupost utumbo.

Mods futa huu upuuzi
 
Wanajitahidi sana kupambana na mawimbi makali ambayo chama kinapitia.

Na kigogo anazua taharuki tu ili aendelee kuwa relevant kule twitter lakini mengi ni uongo tu.
 
Kama wamekataa matokeo yote Kwa nn wamekuali mbunge wao mmoja aende bungeni , sambamba na hayo madiwani wa Chadema walioshinda still wanapiga kazi, kuna utata mkubwa kwenye hoja yako...
Hawajakubali bali ameenda mwenyewe!

Tofauti na viti maalum, hivi utaratibu wake ni lazima katibu mkuu apeleke majina huko NEC, na si kwa mtu kujipeleka mwenyewe
 
Wakumbushe walionunuliwa na wakapoteza sifa ya kuaminika kwa raia wapi MREMA LIPUMBA CHEYO DR SLAA hana uwezo hata wa kuitisha mkutano wa kata
 
Slaa na lowasa wako wapi wanauwexo wa kushawishi watu wa upinzani sasa hivi
 
Ndipo uwezo wenu wakufikiri unapoishia.
Kama spika alimlinda Mwambe,Lijuakali itashindikana nini kwa kinamama wa Bawacha viti maalum?
#Niyeye Halima Mdee.
#Niyeye Ester Bulaya.
#Niyeye Ester Matiko.
#Ni yeye Aida Khenan.
Bunge la 2020 twende na Bawacha viti maalum.
Halima mdee ni mwanamke wa shoka,ajawai kushindwa vita.
 
Wakumbushe walionunuliwa na wakapoteza sifa ya kuaminika kwa raia wapi MREMA LIPUMBA CHEYO DR SLAA hana uwezo hata wa kuitisha mkutano wa kata

Umekosea, walionunuliwa ni Tundu na genge lake

Mrema ameikubali kazi ya Rais na kuunga juhudi waziwazi

Lipumba na Cheyo wamegoma kutumika na Mabeberu wa ulaya, America na arabuni

Dr Slaa alikimbia dhambi ya kushirikiana na Chadema kumsafisha fisadi papa Lowasa na kumpa dhamana ya kugombea urais kwenu
 
Hawajakubali bali ameenda mwenyewe!

Tofauti na viti maalum, hivi utaratibu wake ni lazima katibu mkuu apeleke majina huko NEC, na si kwa mtu kujipeleka mwenyewe
You are right,Mwanachama ni mtu mwenye kadi husika ya chama pamoja na mengineyo,Pengine unaweza kukuta Slowly au Missile of the nation mna kadi zenu za CHADEMA na ni wanachama halali,sasa mmeteuliwa huko mtaani kuwa wabunge bila Mnyika kujua kwa mujimu wa utaratibu,sasa CHADEMA kama CHADEMA inakosa gani hapo au inahusikaje hapo na uchafu huu ambao haijashirikishwa? au pengine watu wanadhan kuwa mwanachama ni lazima uwe na jina kubwa kama MDEE na wengine ili uweze kuteuliwa kinyemela?Mwanachama ni mwanachama tu-na haya ni maswali wengi wanaoiponda CDM kuhusu fununu hz za teuzi hawataki kujiuliza.
 
manin,,,,,,, zako labda ukawapoteze wasagaji wenzio wa LUMUMBA
 
Hawawezi kwenda bila barua ya katibu, wanarukaruka tu... Labd mheshimiwa supuka avunje katiba awaapishe
 
Ni afadhali chadema wakubaliane na reality tu, kwa sababu idadi yao haiharibu quorum ya Bunge na wala haitaathiri vikao vya bunge. Ni afadhali wawaruhusu hao wabunge maalumu wasikike bungeni kwa niaba ya chadema kuliko kuacha chadema iwe mute kabisa; kwa lugha rahisi, huu ni muda mwafaka sana wa CHADEMA kuchagua wabunge wa viti maalumu kwa umakini sana kuliko zamani.
 
Hii Sera ni ya ccm kuwajengea uwezo wanawake! Midume ya chandimu inakandamiza haki za wanawake, afu kucha kutwa kuanzisha siredi humu, wabunge viti maalumu hata wakigoma kuingia, hakuna kinachobadilika, sisi ni kazi tu, tulichelewa sana!
 
I love you .nyie ndio wanawake wachache wenye akili hapa duniani
 
manin,,,,,,, zako labda ukawapoteze wasagaji wenzio wa LUMUMBA
Tatizo unafkiri ile sera yenu ya ushoga inatekelezwa Tanzania.... au ndio hasira za kumkosa shogako😁😁😁 Pole lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…