Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #21
Cha kushangaa Canada hawakuwa na shida kabisa nao wamekuwa wapumbavu kabisa kiasi kwamba consular section yao ni upuuzi mtupu.Mkuu Dr Matola PhD, swala la delay za US na CN visa sio bongo tu ni worldwide.
Kenya wanasubiri at least 1yrs kupata appointment ya visiting visa. Nigeria it was at least 2yrs, ilibidi wafanye petition kwa Biden aingilie kati sijui walifikia wapi:
![]()
Two-year US visa interview delay frustrates Nigerians - Businessday NG
Travellers looking to visit the United States for tourism, business and family visits have expressed their frustration over delays inbusinessday.ng
In case of emergency unaweza kuomba expedition kwenye website yao, kwanza inabidi u-schedule appointment kawaida then uombe expedite. Itakubidi uambatanishe nyaraka zako. Nawajua watu kadhaa waliofanikiwa kwa njia hii. Ni bure kabisa ila lazima madai yako yawe ya msingi.
Visa za shule kidogo zina nafuu japo nazo zinachelewa ila sio kama visiting visa. Visiting visa kwa mtu yeyote anayehitaji aanze process mapema sana.
I agree with you wizara yetu ya mashauri ya nje ijaribu kuongea nao ukizingatia wasafiri bongo sio wengi sana kama nchi zingine hatuna sababu ya kusubiri muda mrefu hivyo. Viongozi wengi hawajui hiyo adha maana wao wanatumia diplomatic passports wanaruka tu visa is on the arrival.
Jamaa yangu wamempa viza ya miaka 10, akaingia Toronto then alikuwa US pia, akamaliza issue zake anarudi Toronto then akaja Bongo.
Alishapiga hizi Ingia toka nyingi Bongo Canada Bongo, na hafanyi illegal deal zozote zile, Sasa passport yake ilivyoexpire ameomba Canadian viza wamemnyima, na previous travel record yake iko vizuri sana, sasa sijajywa bado nini kinaendelea kwa hawa mapacha Wawili, is not fair at all.
Binafsi nimecancel trip kwa mwaka huu maana huu utumwa siuwezi kwakweli.