Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #61
Punguza ujuwaji, walioharibu Uingereza ni wapemba baada ya Maalim Seif kuporwa ushindi na Ccm kwenye uchaguzi wa 1995 wapemba wengi na vijana wajanjawajanja wa kariakoo walikimbilia Uingereza na claim yao wote ilikuwa ni political asylum.Siyo kweli. 1995 UK ilikuwa tayari unahitajika kuwa na Visa kabla hujaenda.
Tuliharibu miaka ya 80's
Labda ndege walikupakia kimagendo.
Watu wengi walioingia Uingereza kipindi hicho ninaowafahamu Mimi wote sasa hivi wana Uraia wa Uingereza, hii ndio sababu kubwa ya sisi kufutiwa airport entry wakabaki Malawi nadhani na Kenya.