92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Kwamba ww hutatuliwi? Mbona unaikana kazi yako asee au unajikodha kwa wana jf tunakujua dr marinda matolaKwakuwa unatatuliwa malinda Bongo basi kila mtu unadhani yuko hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ww hutatuliwi? Mbona unaikana kazi yako asee au unajikodha kwa wana jf tunakujua dr marinda matolaKwakuwa unatatuliwa malinda Bongo basi kila mtu unadhani yuko hivyo?
Kwani nawewe ukiwa bongo unafaidika nini,mbona hauwi tajili?Mkienda huko mnafaidika Nini? Mbona hatuoni Mabilionea kutokea US na Canada Bali ni Akina Vunjabei na dai wa hapahapa?
Acha fikra potofu,wewe Kama umekubali kusubilia kifia bongo tulia,hii inshu inatuusu tunaojielewaMnalazimsiha kwenda us na canada ni kwa mama zenu kule? Tulizeni rinda bongo
Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto zilizopo kwa maslahi ya Watanzania.
Kuna issue ya Viza ya Marekani na Canada zimeleta sintofahamu kubwa sana na usumbufu.
Ubalozi wa Marekani Mtanzania ukitaka kuomba viza inabidi usubiri appointment schedule ya miezi 6.
Na kwa upande wa Canada ni siku 400 plus maana yake ni mwaka na kitu, why?
Sasa Nina maswali ambayo hayana majibu je kwa safari za dharura inakubalika kupata viza kwa short appointment schedule?
Pili kwa mtu wa safari ya kawaida unaruhusiwa kuomba viza nje ya Tanzania au kuna balozi za Marekani nchi zipi tunaweza kwenda kuomba viza huko kuliko kusubili miezi 6?
Vipi wizara yetu foreign affairs hawaoni huu usumbufu wanaotupa hawa USA na Canada?
Mbona Shenghen countries viza zao hazina usumbufu? Waziri wa foreign affairs akiambiwa yeye asubili viza interview schedule kwa miezi 6 angekubali?
Hebu tulijadili hili, kama wewe ni msafiri hili moja kwa moja linakuhusu.
Cc@Kiranga Bufa Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Maghayo
Ilo liko wazi,yaani wenye haki ni wenye uraia wa mambele au ngozi nyeupeHuna haki yeyote ngozi nyeusi, bora ujue mapema.
Tatizo la wabongo mnachagua ccm mnataka mkibilie us na Canada tulia hapa mkale matunda ya kazi yenu,wao wangekuwa wavivu nchi zao zingekua hivyo,au kama vipi omba visa ya Urusi ni rahisa sana kuipata,Jana wamezindua bomu kubwaaa la masafa marefu kuwaitokea.Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto zilizopo kwa maslahi ya Watanzania.
Kuna issue ya Viza ya Marekani na Canada zimeleta sintofahamu kubwa sana na usumbufu.
Ubalozi wa Marekani Mtanzania ukitaka kuomba viza inabidi usubiri appointment schedule ya miezi 6.
Na kwa upande wa Canada ni siku 400 plus maana yake ni mwaka na kitu, why?
Sasa Nina maswali ambayo hayana majibu je kwa safari za dharura inakubalika kupata viza kwa short appointment schedule?
Pili kwa mtu wa safari ya kawaida unaruhusiwa kuomba viza nje ya Tanzania au kuna balozi za Marekani nchi zipi tunaweza kwenda kuomba viza huko kuliko kusubili miezi 6?
Vipi wizara yetu foreign affairs hawaoni huu usumbufu wanaotupa hawa USA na Canada?
Mbona Shenghen countries viza zao hazina usumbufu? Waziri wa foreign affairs akiambiwa yeye asubili viza interview schedule kwa miezi 6 angekubali?
Hebu tulijadili hili, kama wewe ni msafiri hili moja kwa moja linakuhusu.
Cc@Kiranga Bufa Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Maghayo
Sijawahi kuonaga mtu mzima kichwani aliyetoka Urusi, refer Dr Shika.Tatizo la wabongo mnachagua ccm mnataka mkibilie us na Canada tulia hapa mkale matunda ya kazi yenu,wao wangekuwa wavivu nchi zao zingekua hivyo,au kama vipi omba visa ya Urusi ni rahisa sana kuipata,Jana wamezindua bomu kubwaaa la masafa marefu kuwaitokea.
Badala upambane unawaza kukumbia tulia, katika ile mitano bado miwili Kisha mitano tena.Acha fikra potofu,wewe Kama umekubali kusubilia kifia bongo tulia,hii inshu inatuusu tunaojielewa
shida ya Kwanza ni ngozi yetu,shida ya pili nchi yetu+viongozi wetu.anyway ila Mimi nitatoka tu.ila wewe uko wapi?Badala upambane unawaza kukumbia tulia, katika ile mitano bado miwili Kisha mitano tena.
Jiulie swali kwanini raia wa us na Canada wakitaka Kuja bongo wanagonga free entries kwanini isiwe sawa na kwetu kwenda USA na Canada? Wabongo tutulia tule matunda ya mitano tena ndio aya.
Wakenya hao waliingia wengi na kuomba asylum,wacanada wameshtuka ndio maana wanabana kutoa visaKuna taarifa kuwa baada ya Corona Canada walitowa viza nyingi sana kwa Waafrica na hasa ukanda wetu.
Kuna video clip zilisambaa watu Waafrica hawana shelter na wanafosi Asylum seeker, je kuna ukweli wowote? Na hili limechangia kwa Wacanada kufanya wasieleweke na kubania viza?
Atake asitake ni mitano tena.😀😀Badala upambane unawaza kukumbia tulia, katika ile mitano bado miwili Kisha mitano tena.
Jiulie swali kwanini raia wa us na Canada wakitaka Kuja bongo wanagonga free entries kwanini isiwe sawa na kwetu kwenda USA na Canada? Wabongo tutulia tule matunda ya mitano tena ndio aya.
Kwani ukikubali vitu vingine siyo level yako ya ufahamu utapungukiwa na nini?Kwa hadithi na taarifa zaidi juu ya experience (manyanyaso na mafanikio) ya wa Watu weusi ndani ya jamii ya Weusi Canada- Bofya hapa chini kwa taarifa kutoka mradi wa CBC Black Canada.
Not all is Gold!
Siyo kweli, tusidanganyane. Hakuna "free entry" kwa raia wa US na Canada kuingia Tanzania. Wanalipia visa, tena inategemea anakuja kufanya nini. Sema wao hawasubiri kupata,wanagongewa kabla au wanapoingia, siku hizi kuna e visa, kwa mtandao tu. Sio kama sisi tukitaka kwenda kwao tungoje.Badala upambane unawaza kukumbia tulia, katika ile mitano bado miwili Kisha mitano tena.
Jiulie swali kwanini raia wa us na Canada wakitaka Kuja bongo wanagonga free entries kwanini isiwe sawa na kwetu kwenda USA na Canada? Wabongo tutulia tule matunda ya mitano tena ndio aya.
Siyo kweli. 1995 UK ilikuwa tayari unahitajika kuwa na Visa kabla hujaenda.Siyo Canada tu, hata Uingereza nimekweda bila viza 1995.