Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Washakula hela sana.Mkuu una ufahamu wowote kuhusu VPN. Tunnel ?
Ni application ambazo unaweza kutumia payload au SSH kupata huduma ya Internet bute bila kutoa Thumni sasa mkuu unapochepusha Matumizi ambayo ungepaswa ununue unafikiri wale wanaongeza kipi?
watakuwa wanatumia fedha nyingu kuendesha kampuni while kuna watu wanatumia minala yao bila kulipia huku wakipata Private gain..
Ila kwenye Hizi Tunnel wahanga wakubwa ni TTCL na Airtel, Tigo sio sana cuz wanatoa Slow speed..
Ila TTCL unaweza kutumia Mpaka 1TB kwa mwezi..
Ila bora wapigww kitu kizito maana na wenyewe wamezidi kutapeli Aisee
Ukijiunga kifurushi cha siku halafu ukabakiza dakika, sms na data huwa wanazipeleka wapi wakati umezinunua?
Unashangaa kifurushi kina dk, sms na mb lkn ikifika muda wanachukua.
Hasara, nishapata sana.