Suala la VPN walengwa ni wapinzani, watumia VPN kuepuka gharama za mabando na kucheki mambo binafsi ondoeni hofu

Turbo inapiga kazi 😂😂
Andika kwa code mkuu. Huu uzi wanapitia watu wenye roho mbaya. Zitapigwa pin muda si mrefu.
Nilikuwa nanunua bando sana ikafika muda nikachoka. Gharama ni kubwa kuliko uhalisia
 
Tangu lini tapeli akapata hasara?
Hiyo mitandao ni matapeli na kila siku wanabadilisha vifurushi. Angalia uchumi wa wawatanzania wengi halafu kwa 1000 unapata mb 450 kweli?
Leo kupata 10gb lazima uwe na 20,000.
Umeweka hizo VPN kimakusudi sijui unamkomoa nani? Hizo vpn sijawahi kutumia, natumia zingine kabisa na ni mtelezo.
Mitandao ya simu imekuwa mitapeli sana acha nao watapeli.
Kipindi kile 1gb kwa buku, nani alikuwa anahangaika na VPN? Mimi mwenyewe nilikuwa sijui VPN ila nilipoona bando kila siku zinabadilika, nikaanza kwa Droid ila sasa situmii tena, nina chombo jipya. Siwazi bando.
Muvi ya 1.4Gb ununue bando la 3,000 mpk 4,000 ndiyo upakue? Hapana, wapate hasara tu, mimi sina msaada nao.
🤣🤣🤣🤣😅😅 Ngoja wakusikie
 
J

Msaada jmn
Yaani duh
 
Kwakweli siwezi 🙌😅
Sasa utaishije?
30k shwaaaaa
Na bando linakaa week 2 🤣
IMG_2293.png
 
Tangu lini tapeli akapata hasara?
Hiyo mitandao ni matapeli na kila siku wanabadilisha vifurushi. Angalia uchumi wa wawatanzania wengi halafu kwa 1000 unapata mb 450 kweli?
Leo kupata 10gb lazima uwe na 20,000.
Umeweka hizo VPN kimakusudi sijui unamkomoa nani? Hizo vpn sijawahi kutumia, natumia zingine kabisa na ni mtelezo.
Mitandao ya simu imekuwa mitapeli sana acha nao watapeli.
Kipindi kile 1gb kwa buku, nani alikuwa anahangaika na VPN? Mimi mwenyewe nilikuwa sijui VPN ila nilipoona bando kila siku zinabadilika, nikaanza kwa Droid ila sasa situmii tena, nina chombo jipya. Siwazi bando.
Muvi ya 1.4Gb ununue bando la 3,000 mpk 4,000 ndiyo upakue? Hapana, wapate hasara tu, mimi sina msaada nao.
Nipeni elimu nimedownload aha tunnel inafanyaje kazi je ikiwa connectect data nazima ili nilikatike au naacha hiyo kubana matumizi inafanya yenyewe mi nitajionea data inalika vzr
 
Upuuzi wote huu wa VPN na vitu vinavyofanana na hivyo utaisha siku Tanganyika ikiwa na serikali yake.
Usikurupuke kujibu kabla ya kutafakari. Hapa ni home of great thinkers. Be one of them!
 
Tangu lini tapeli akapata hasara?
Hiyo mitandao ni matapeli na kila siku wanabadilisha vifurushi. Angalia uchumi wa wawatanzania wengi halafu kwa 1000 unapata mb 450 kweli?
Leo kupata 10gb lazima uwe na 20,000.
Umeweka hizo VPN kimakusudi sijui unamkomoa nani? Hizo vpn sijawahi kutumia, natumia zingine kabisa na ni mtelezo.
Mitandao ya simu imekuwa mitapeli sana acha nao watapeli.
Kipindi kile 1gb kwa buku, nani alikuwa anahangaika na VPN? Mimi mwenyewe nilikuwa sijui VPN ila nilipoona bando kila siku zinabadilika, nikaanza kwa Droid ila sasa situmii tena, nina chombo jipya. Siwazi bando.
Muvi ya 1.4Gb ununue bando la 3,000 mpk 4,000 ndiyo upakue? Hapana, wapate hasara tu, mimi sina msaada nao.
Bwana wewe haya tusaidie basi
 
Back
Top Bottom