Suala la wafiwa kuandaa chakula kwa ajili ya wanaokuja kuzika ni utaratibu wa kupigwa vita

Suala la wafiwa kuandaa chakula kwa ajili ya wanaokuja kuzika ni utaratibu wa kupigwa vita

Na hilo ndo nalikazia hapa.

Watu wamechangia laki alafu wafiwa wametumia laki mbili kugharamia chakula n.k,alafu mtu anasema aamekula alichochangia it's non sense
Kabisa
 
lakini si kunamichango watu hutoa kuna ubaya gani kununua chakula watu wale.
Michango ni kiasi gani na gharama za msiba kwa jumla ni sh ngapi? Tatizo ndo lipo hapo.
Tunawaza chakula tu wakati kuna mambo ya msingi zaidi
 
Ile michango ya msiba unadhan kazi yake ni nini? Technical huwa wanajinunulia chakula.
 
Back
Top Bottom