Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 12, 2020 #181 safuher said: Na hilo ndo nalikazia hapa. Watu wamechangia laki alafu wafiwa wametumia laki mbili kugharamia chakula n.k,alafu mtu anasema aamekula alichochangia it's non sense Click to expand... Kabisa
safuher said: Na hilo ndo nalikazia hapa. Watu wamechangia laki alafu wafiwa wametumia laki mbili kugharamia chakula n.k,alafu mtu anasema aamekula alichochangia it's non sense Click to expand... Kabisa
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 12, 2020 #182 pumzihaiuzwi said: lakini si kunamichango watu hutoa kuna ubaya gani kununua chakula watu wale. Click to expand... Michango ni kiasi gani na gharama za msiba kwa jumla ni sh ngapi? Tatizo ndo lipo hapo. Tunawaza chakula tu wakati kuna mambo ya msingi zaidi
pumzihaiuzwi said: lakini si kunamichango watu hutoa kuna ubaya gani kununua chakula watu wale. Click to expand... Michango ni kiasi gani na gharama za msiba kwa jumla ni sh ngapi? Tatizo ndo lipo hapo. Tunawaza chakula tu wakati kuna mambo ya msingi zaidi
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,334 Reaction score 5,829 Nov 12, 2020 #183 Ile michango ya msiba unadhan kazi yake ni nini? Technical huwa wanajinunulia chakula.
Thidanganyiki Member Joined Mar 25, 2015 Posts 47 Reaction score 59 Nov 13, 2020 #184 Hili jambo inabidi viongozi wa kidini waliingilie kati kwa kutoa tamko.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Nov 14, 2020 Thread starter #185 Thidanganyiki said: Hili jambo inabidi viongozi wa kidini waliingilie kati kwa kutoa tamko. Click to expand... Mkuu viongozi wa dini wengi nao wanamambo yao. Ukisema hivi utaambiwa wewe ni mrengo fulani na fulani
Thidanganyiki said: Hili jambo inabidi viongozi wa kidini waliingilie kati kwa kutoa tamko. Click to expand... Mkuu viongozi wa dini wengi nao wanamambo yao. Ukisema hivi utaambiwa wewe ni mrengo fulani na fulani