It is just a question of time before backfiring. Hili suala linataka majawabu. Lisiachwe kama halina mwenyewe
Mkuu mtu pekee aliyejaribu kulitackle tatizo la ajira ya vijana miaka yote 60 ya Uhuru, ni Mwalimu Nyerere.
Wengine wote wamewachukua vijana kama mtai tu wa kisiasa.
Msimamo wa ccm na viongozi wote waandamizi ni " pass on the buck", yaani tatizo la vijana ni mbele kwa mbele, atataua ajye.
In the meanwhile wanatumiwa kama mtaji wa kisiasa, kura wakati wa uchaguzi.
Mwalimu alisema, tukitaka kuendelea twahitaji vitu VINNE:
- Watu
- Ardhi
- Siasa safi
- Uongozi bora
Kiachomiss sasa hivi nia
siasa safi(sera za vijana) na
uongozi bora(uthubutu wa kutekeleza sera za vijana).
Viongozi nadiriki kusema hakuna sera zilizo simama kuwa absorb hao vijana wanao zaliwa leo katika sekta mbali mbali.
Mwalimu alijaribu kuwaambia wananchi kuwa hakuna mbadala wa kujiajiri kupitia KILIMO.
Miongo na miongo ya waliomfuata Mwalimu wameshindwa kuwekeza vya kutosha katika kilimo ili vijana wavutike huko.