mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI NINI NAJIULIZA.
Je, Nchi imekuwa na kustaarabika kiasi kwamba jambo ambalo ni kosa sasa haliungwi mkono kishabiki.
Je, Upinzani umedumaa kiasi hakuna kizazi kipya cha kupokea kizazi fifishi cha wakina Mnyika,Zitto, Lema, etc
Je, Bado tuna Magufuliphobia. Aliposema kitu hata bila kujali ni sahihi au sio sahihi kukipinga ilikuwa ni kama kupingana na nchi.
nini maoni yako