mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Wamachinga wametii wapi?Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa...
Nani alikudanganya kuwa wapinzani wanataka uchafu uliokuwa umetapakaa mijini? Cheap popularity ya kuwadekeza machinga huku sheria za mini zikivunjwa waziwazi.Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI NINI NAJIULIZA.
Je, Nchi imekuwa na kustaarabika kiasi kwamba jambo ambalo ni kosa sasa haliungwi mkono kishabiki.
Je, Upinzani umedumaa kiasi hakuna kizazi kipya cha kupokea kizazi fifishi cha wakina Mnyika,Zitto, Lema, etc
Je, Bado tuna Magufuliphobia. Aliposema kitu hata bila kujali ni sahihi au sio sahihi kukipinga ilikuwa ni kama kupingana na nchi.
nini maoni yako
Mkuu mitale Ulipoteaga wapi? Hadi kwenye comments nyingi humu Nilikuwaga na kutag. Kuna uzi wako flani nilipata darsa. Ni ile ukiwa kwenye hadhara jitahidi sana kuwa msikilvu siyo muongeaji sana. Dan faure kwenye iyo avatar picha yako alishindwa kwenye uchaguzi ushelisheli nilikurag mara nyingi sana.Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI NINI NAJIULIZA.
Je, Nchi imekuwa na kustaarabika kiasi kwamba jambo ambalo ni kosa sasa haliungwi mkono kishabiki.
Je, Upinzani umedumaa kiasi hakuna kizazi kipya cha kupokea kizazi fifishi cha wakina Mnyika,Zitto, Lema, etc
Je, Bado tuna Magufuliphobia. Aliposema kitu hata bila kujali ni sahihi au sio sahihi kukipinga ilikuwa ni kama kupingana na nchi.
nini maoni yako
Kuhusu Machinga, hukumwelewa Hayati Magufuli, na kama ulimwelewa una chuki binafsi. Ebu msikilize kwa umakini.Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI NINI NAJIULIZA.
Je, Nchi imekuwa na kustaarabika kiasi kwamba jambo ambalo ni kosa sasa haliungwi mkono kishabiki.
Je, Upinzani umedumaa kiasi hakuna kizazi kipya cha kupokea kizazi fifishi cha wakina Mnyika,Zitto, Lema, etc
Je, Bado tuna Magufuliphobia. Aliposema kitu hata bila kujali ni sahihi au sio sahihi kukipinga ilikuwa ni kama kupingana na nchi.
nini maoni yako
Tupo busy na kesi mliyomzushia Dkt Mbowe, kenge nyieKwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI NINI NAJIULIZA.
Je, Nchi imekuwa na kustaarabika kiasi kwamba jambo ambalo ni kosa sasa haliungwi mkono kishabiki.
Je, Upinzani umedumaa kiasi hakuna kizazi kipya cha kupokea kizazi fifishi cha wakina Mnyika,Zitto, Lema, etc
Je, Bado tuna Magufuliphobia. Aliposema kitu hata bila kujali ni sahihi au sio sahihi kukipinga ilikuwa ni kama kupingana na nchi.
nini maoni yako
Karibu Tanzania na pole kwa safari.Kwa kawaida tulitarajia...