Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia.
Waziri husika hakufanya kazi yake.
Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting.
Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS.
Na hata vetting ikikamilika mteule huwa ni lazima anakuwa na habari na kutakiwa kuwa na maoni ikiwa ni pamoja na kujitayarisha kisaikolojia. Na mpaka hatua hiyo suala zima bado ni siri kubwa.
Sasa kuteuliwa u DC kwa hao viongozi toka CWT inaelekea limefanyika kiswahili swahili tu.
Mbaya zaidi kuna watu wanaenda mbali ati kulaumu kukataa uteuzi. Kibinadamu kama mtu hajajitayarisha kutoka sehemu yake ya kazi, si lazima akubali uteuzi. Hiyo ni haki yake.
Waziri husika, Jenista Mhagama amemuabisha Mama Samia kwa kufanya kazi bila utaratibu katika teuzi hizi.
Anywe kikombe chake kichungu na aombe radhi.