Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Anaipromoti sana voda wenda ana share huko. Miaka flani aliwaambia watu wanunue hisa za vodaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
kwan kuna kitu umewahi kuridhika na kukaa kimya wew?Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Yani kuna Viongozi wanatufanya Watanzania Mazuzu.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Alisha wahi kutangaza kwamba amenunua hisa za mil 10 za vodacomWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Ushimen vipi mbona juzi ulisema Lowasa ni classmate wako...kumbe na huyu majaliwa nae.Classmate kazingua...π hadi nimejiskia haya mimi..π
Nikweli mkuu...π₯Ushimen vipi mbona juzi ulisema Lowasa ni classmate wako...kumbe na huyu majaliwa nae.
Pole Kwa msiba wa classmate wako mkuu....nkajua umeenda mwanza kuandamana.Nikweli mkuu...π₯
Hapa nishatangulia Monduli tunaendelea na msiba...πͺ
PM 'Kaungua' hapa πWewe mwache ajichurie tu tutamrudisha huku shauri yakeView attachment 2904833