Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.

Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.

Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Huyo Mwamba mbona anafahamika kwa kusema uwongo hadharani!
 
Kwa hiyo kakopa Itel? Au techno? Maana ndo zakopeshwa na voda
Huyu mtu tangu aseme Magufuli yupo ofisini anachapa kazi wakati ameganda kwenye friji nikimuona nasikia kichefuchefu.
 
Tunadanganyika kirahisi sana wabongo hao viongozi washatusoma
 
kwan kuna kitu umewahi kuridhika na kukaa kimya wew?

ata angenunua kwa cashi pia ungesema tu na hao wengine wangeguna pia...

hakunaga jema kwa mwanadamu ...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Ahahahahaha! Kwamba mtu mwenye gubu hata ukicheza kwenye matope atasema unatutimulia vumbi! Ahahahahaha!!
 
Labda amemnunulia mtoto wa ndugu wa mbali 😀

Yeye anapewa simu na serikali, na hata wasaidizi wake wote wanazo simu.
 
Back
Top Bottom