Huyo Mwamba mbona anafahamika kwa kusema uwongo hadharani!Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash.
Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu.
Nakaa namsikiliza alivyosema hivyo watu kibao wameguna.
View attachment 2904810
Kiswaswadu mtu wa fix sanaHuyo Mwamba mbona anafahamika kwa kusema uwongo hadharani!
Huyu mtu tangu aseme Magufuli yupo ofisini anachapa kazi wakati ameganda kwenye friji nikimuona nasikia kichefuchefu.Kwa hiyo kakopa Itel? Au techno? Maana ndo zakopeshwa na voda
Halafu zikadoda hizo shareAnaipromoti sana voda wenda ana share huko. Miaka flani aliwaambia watu wanunue hisa za voda
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kipindi cha Jiwe Kassim alinunua hisa za milioni 20 Vodacom.Anaipromoti sana voda wenda ana share huko. Miaka flani aliwaambia watu wanunue hisa za voda
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Na samsung A04 ambayo ni laki mbili na semanini kwa cash.Kwa hiyo kakopa Itel? Au techno? Maana ndo zakopeshwa na voda
Ahahahahaha! Kwamba mtu mwenye gubu hata ukicheza kwenye matope atasema unatutimulia vumbi! Ahahahahaha!!kwan kuna kitu umewahi kuridhika na kukaa kimya wew?
ata angenunua kwa cashi pia ungesema tu na hao wengine wangeguna pia...
hakunaga jema kwa mwanadamu ...
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Ni Itel, unatanguliza 20k unapewa simu then unakuwa unalipa 850 kwa siku!Kwani simu Gani izo zinakopeshwa na inalipwa shingapi kwa siku.
Huogopi kupigwa ngumiNikweli mkuu...😥
Hapa nishatangulia Monduli tunaendelea na msiba...😪
Hivi hawa VODA wameisha gawa dividends tangu waanze kuuza hisa? Mimi nilinunua zile za mwanzo kabisa lakini mpaka leo ni kimya tu. Napata za makampuni mengine tu; hasa TCC na TBL.Anaipromoti sana voda wenda ana share huko. Miaka flani aliwaambia watu wanunue hisa za voda
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app