Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hayo ni mawazo mgando. Geita ni mkoa sasa hivi airport ya chato itatumiwa na wananchi wote.sio kutegemea airstrip ya GgmNani kasema anayo yafanya watanzania tunayahitaji?
Airport ya chato akitoka madarakani tuna wapa wananchi wakaushie maharage
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome katiba inasemaje? Acha utotoAkifa leo?
Mziki ganianalisi mikoba ili mziki uendelee
Mwenye macho haambiwi tazamaMziki gani
Labda ana maanisha mziki huu wa RAIA kucheza ndani ya umasikini!Mziki gani
Ndiyo maana tuliambiwa tujenge taasisi imara na siyo mtu au watu imara, kwani tunaweza hata kumuacha Magufuli atawale milele lakini uhai wake nani anaweza akamfanya aishi milele? Tusiwe wavivu wa kufikiri. Jambo la msingi na la maana tuwe na mikakati ya kimaendeleo ya muda mrefu na tuwe na katiba bora.Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya? Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.Hivyo basi JPM ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa analisi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Ni mwendelezo. Je kulikuwa na ndege nane mpya wakati wa ....Je kulikuwa na lami toka tunduma mpaka mpanda.hospital za wilaya 67 mpya ndani ya miaka minne? Muendelezo upo tofautiHakukuta ikulu? hakukuta watu tunasafiri kwa ndege? hakukuta zahanati na hosptal je ndugu zake walikuwa wanatibiwa wapi? barabara je hazikuwepo? tuache siasa kila rais kafanya kitu yeye anafanya mwendelezo tu.
Mbona mimi muhaMagufuli angekuwa Muha usingeandika upuuzi huu, hapa umesukumwa na ukabila tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanya hujui kuwa nchi ilikuwa imepinda? Au sababu amekubana usiijichotee mihela ya watz? Acha hasiraHakukuta ikulu? hakukuta watu tunasafiri kwa ndege? hakukuta zahanati na hosptal je ndugu zake walikuwa wanatibiwa wapi? barabara je hazikuwepo? tuache siasa kila rais kafanya kitu yeye anafanya mwendelezo tu.
Kitu gani kipya amefanya zaidi ya kupunguza mikopo chuo kikuu, kupunguza ajira,kuzima bunge na kubana wanasiasa wapinzani wake?
mambo ya kumtegemea rais mmoja aje atuletee maendeleo kisa tu kaweka sheria na katiba kwapani ni ujinga atoe uwanja sawa wa mapambano tuone kama sio rais mbovu toka tupate uhuru.
Ni mwendelezo. Je kulikuwa na ndege nane mpya wakati wa ....Je kulikuwa na lami toka tunduma mpaka mpanda.hospital za wilaya 67 mpya ndani ya miaka minne? Muendelezo upo tofauti
Mbona Mzee mwinyi alishindwa? Mza dar ilikuwa unaenda kwa basi siku tano.Acha kujifanya huoniSasa kama yeye anafanya muendelezo, ni kipi unadhani wengine hawataweza? Ni kiongozi gani atashindwa kukopa ili kufanya miradi ya maendeleo?