Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa

Ikitokea majaliwa amekua raisi atakua ndio rais atakayekua mzee kuwah kushika madaraka maana atakua ana 64 years.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom