Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Hivi magufuli amefanya nini kipya kwenye hii ardhi ya Tanzania?
 
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Go and pick your brain where you damped it. Wanaohangaika hivyo ni wale wanaowazia nafasi zao JPM akitoka madarakani. JPM wetu maskini hana hata hiyo Nia. Wajue na wakumbuke kwamba nyakati huja na nyakati hupita. Enzi huja na kupita. Wamalizie malengo yao kabla ya SA5 kumaliza muda wake. Miaka 10 ni mingi jamani kuzunguka katika viunga vya Chamwino na Magogoni. Enzi huja na kupita. Mwacheni mzee apumzike. 2025 mzee atakuwa 67; Nguvu zitaanza kupungua. Mikikimikiki ya Urais itakuwa sio sawa kwake na Ubongo pia utahitaji kupumzika. Malizeni Mambo yenu ndani ya miaka 6 iliyobaki.

Kuhusu kumuandaa mtu, kwa taarifa yako hakuna outgoing president wa JMT aliyefanikiwa kumuweka project yake madarakani. Atajiaibisha bure. Kumuandaa mtu siyo kazi ya peke yake.Ni kazi ya mzima wa nchi hadi viongozi wa dini wenye akili timamu.
 
..mnataka mtu atakayeendeleza CHUKI na UKATILI wa utawala wa awamu ya 5?

..UMASIKINI na UKOSEFU WA AJIRA mnataka tuendelee ktk hali hii?
 
Ninapata wakati mgumu Sana ninapoona makala Za kukata tamaa kiasi hiki ... Tanzania tuna watu wazuri na mahiri ya kutuvusha popote kiuchumi na kisiasa. Nakumbuka Nyerere alipotangaza kuachia Nchi wengine waliona tanzania bila Nyerere haitawezekana lakini imewezekana. Kama tulimpata Magufuli kwenye wasiojulikana ni ushahidi tosha tuna hazina ya watu makini na wenye nia thabiti zaidi ya kutupeleka mbele.
 
zile maabara alizoanzisha jk katika awamu ya pili nani ameziendeleza,na hivyo hivyo atakaekuja baada ya yeye atakua na vipaumbele vyake,mngepiga kelele kwanza zile maabara ziendelezwe ili watoto wetu wasome sayansi kwa vitendo kuliko maabara zile nyingi mikoani zimegeuzwa kuwa madarasa,halafu mnapiga kelele hapa,ya jk hamyakumbuki eeeeh.
 
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Aliondoka Nyerere nn Magu
 
Unajua Watanzania ifike kipindi tusijifanye kila mmoja anaweza kuchambua siasa. Hiv hayo maswali na mijadala kuhusu muda wa Rais kukaa madarakani mnatoa wap na mnawaza Nini kuzungumzia suala km hili. Tusiwe watu ambao hatuijui historia ya nchi hii, hiv wakati wakati wa utawala wa mwalimu Julius kambarage Nyerere tuliwahi kujiuliza mwalimu akitoka madarakani Ni Nani atarithi nafasi yake na kufanya mambo makubwa km mwalimu? Let us don't be mind closed, Tanzania tuna viongozi wengi Sana km akina Nyerere, Magufuli na wengineo ila Cha msingi Ni kutengeneza sheria za uwajibikaji katka serikali na kuheshimu sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujadili siasa ni haki yetu ya kimsingi.sheria zipo zinazotaka watu wawajibike.ila kama hamna rais makini na msimamizi mzuri hatuwezi fanikiwa
 
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa

Moja ya matatizo makubwa yanayotukabili kama taifa ni kuwa na idadi ndogo sana ya critical thinkers.
Sijui tatizo ni aina ya elimu tunayopata au utamaduni wetu wa kuvumilia uduni.

Hivi kuna cha ajabu gani alichofanya Magifuli ambacho kinahitaji akili ya ziada kiasi cha watu kuanza kudhani nchi hii yenye zaidi ya watu millioni 50 itakosa mtu wa kumrithi Rais aliyejengea Taifa hofu na hisia za ukanda na udini?

Of course, watanzania wengi ni wajinga na hawana exposure ya kutosha kujua hata maana ya kuwa rais mzuri na majukumu yake. Wengi hawajui hata maana ya maendeleo au kukua kwa uchumi. Wakiambiwa kujenga miundombinu ndio maendelea, basi utasikia wote wanaimba wimbo huo hata kama watoto wao wanapata elimu duni, vijana wao hawna ajira, na wao wenyewe wamejaa madeni kila Kona na hawana hata senti ya kujinunulia mahitaji ya kesho.

Kwa kulijua hilo wanasiasa wa hovyo hujikweza kwa kukuza kila kidogo wanachokifanya, ambacho ni wajibu wao wa kawaida kabisa kwa nafasi walizo nazo na wanalipwa mishahara kuzifanya, na kutulazimisha tuone kama wanachokifanya ni cha kipekee sana na hakuna mwingine anayekiweza wakiondoka. Ni upuuzi mkubwa wa siasa za kutawala jamii kubwa ya wajinga!

Nchi hii ilikuwepo kabla ya Magufuli. Kuna mambo mengi makubwa na ya kipekee yalifanyika kabla hata Magufuli hajajitambua. Na nchi hii itaendelea kuwapo na kufanya mambo makubwa kuliko ujenzi wa miundombinu, ununuzi wa ndege, na kuvuruga mfumo mzima wa uchumi wetu, kama alichofanya Mhe huyu.

Kwa wanaoelewa na wasio washamba, Magufuli hana IQ kubwa ya kiuongozi itakayolifanya Taifa limiss akiondoka. Atakuwa replaced na watu wenye akili kubwa zaidi ya ukatili, kutofuata utaratibu, kupenda sifa, na mizaha kuhusu wanawake weupe!

And that is just a FACT!
 
Poor vision
 
Nani na kwa mujibu wa nani?

Wananchi wa nchi hii ndio wanajua wamweke nani na wala sio wewe au jiwe anatakiwa kuwapangia

You,jiwe and ccm motherfvckers shut your butts and leave us alone to select whomever the fvck we want!
 
Back
Top Bottom