Mbona Mzee mwinyi alishindwa? Mza dar ilikuwa unaenda kwa basi siku tano.Acha kujifanya huoni
Sasa mziki hutazamwa au husikilizwa.Mwenye macho haambiwi tazama
Majaliwa no atakuwa amechokaHakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?
Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.
Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Jibu zuriNani kasema anayo yafanya watanzania tunayahitaji?
Airport ya chato akitoka madarakani tuna wapa wananchi wakaushie maharage
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa kuteka watu ni mambo mazuri sawaHakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?
Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.
Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Hiyo katiba mpya Kenya imewasaidia nini hadi sasa?Cha Umuhimu Uwepo wa Katiba Ngumu ya kuwabana Viongozi na kulinda Maslahi ya Nchi. Mfano Nchini China
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, investment ya mabilioni wakaushie maharagwe? Ingawa kweli ni matumizi mabaya ya fedha za ummaNani kasema anayo yafanya watanzania tunayahitaji?
Airport ya chato akitoka madarakani tuna wapa wananchi wakaushie maharage
Sent using Jamii Forums mobile app
Rami tunduma to mpanda imejengwa na pesa za wamarekani wakati wa kikweteNi mwendelezo. Je kulikuwa na ndege nane mpya wakati wa ....Je kulikuwa na lami toka tunduma mpaka mpanda.hospital za wilaya 67 mpya ndani ya miaka minne? Muendelezo upo tofauti
Eti kununua ndege .utawaweza wasukuma ?Mambo mazuri gani ambayo Hadi mtu special aandaliwe kuyaendeleza?
Ni mwendelezo. Je kulikuwa na ndege nane mpya wakati wa ....Je kulikuwa na lami toka tunduma mpaka mpanda.hospital za wilaya 67 mpya ndani ya miaka minne? Muendelezo upo tofauti
Unajifanya hujui kuwa nchi ilikuwa imepinda? Au sababu amekubana usiijichotee mihela ya watz? Acha hasira
Mbona Mzee mwinyi alishindwa? Mza dar ilikuwa unaenda kwa basi siku tano.Acha kujifanya huoni
Viongozi siyo wa kuwaamini hata siku moja, Unaweza ukafikri kuwa Majaliwa ndiye mrithi sahihi wa kuendeleza yale ya Magufuli kumbe na yeye anayake moyoni mwake.Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?
Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.
Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
KudhaniaViongozi siyo wa kuwaamini hata siku moja, Unaweza ukafikri kuwa Majaliwa ndiye mrithi sahihi wa kuendeleza yale ya Magufuli kumbe na yeye anayake moyoni mwake.
Siku akipewa urithi wa nafasi ya urais ndo anafungua makucha yake kwa kutoa kile cha rohoni mwake mpaka watu wanamshangaa kuwa ni Majaliwa yule waliyekuwa wanamfahamu au ni Majaliwa wa kuchongwa?.
Ndipo yanapoweza kujitokeza kama yale ya Zambia ya Chiluba kumwandaa mrithi wake akitegemea kuwa ndiye atakayekuja kumlinda na kuendeleza mambo yake kumbe ndiye aliyekuja kumkamata na kumtia Lupango.
Mwingine ambaye wapinzani wanajuta kumfahamu ni yule aliyesema nichagueni nitakuwa rais wa watu wote na sita wa bagua kwa vyama, baada ya kupita kilichofuata baadae sitaki fyoko, Wapinzani wakikoa lupango, Wakitaka kugombea nafasi yoyote ya kiserekali lupango, Wananchi wakimchagua kiongozi wanayemtaka wanalazimishwa kuongozwa na kiongozi wa rangi ya kijani ambaye hawakumchagua.
Hiyo katiba mpya Kenya imewasaidia nini hadi sasa?